Now Japan is bribing our ministers with prostitutes?

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Revealed: Japan's bribes on whaling

A SUNDAY TIMES investigation has exposed Japan for bribing small nations with cash and prostitutes to gain their support for the mass slaughter of whales.

The undercover investigation found officials from six countries were willing to consider selling their votes on the International Whaling Commission (IWC).

The revelations come as Japan seeks to break the 24-year moratorium on commercial whaling. An IWC meeting that will decide the fate of thousands of whales, including endangered species, begins this month in Morocco.

Japan denies buying the votes of IWC members. However, The Sunday Times filmed officials from pro-whaling governments admitting:

- They voted with the whalers because of the large amounts of aid from Japan. One said he was not sure if his country had any whales in its territorial waters. Others are landlocked.

- They receive cash payments in envelopes at IWC meetings from Japanese officials who pay their travel and hotel bills.
- One disclosed that call girls were offered when fisheries ministers and civil servants visited Japan for meetings.

Barry Gardiner, an MP and former Labour biodiversity minister, said the investigation revealed "disgraceful, shady practice", which is "effectively buying votes".


The reporters, posing as representatives of a billionaire conservationist, approached officials from pro-whaling countries and offered them an aid package to change their vote.

The governments of St Kitts and Nevis, the Marshall Islands, Kiribati, Grenada, Republic of Guinea and Ivory Coast all entered negotiations to sell their votes in return for aid.

The top fisheries official for Guinea said Japan usually gave his minister a "minimum" of $1,000 a day spending money in cash during IWC and other fisheries meetings.

He said three Japanese organisations were used to channel the payments to his country: the fisheries agency, the aid agency and the Overseas Fisheries Co-operation Foundation.

Japan has recruited some of the world's smallest countries on to the IWC to bolster its support. A senior fisheries official for the Marshall Islands said: "We support Japan because of what they give us."

A Kiribati fisheries official said his country's vote was determined by the "benefit" it received in aid. He, too, said Japan gave delegates expenses and spending money.

The IWC commissioner for Tanzania said "good girls" were made available at the hotels for ministers and senior fisheries civil servants during all-expenses paid trips to Japan.


Source: Revealed: Japan’s bribes on whaling - Times Online
 
What these fools don't understand is the fact that whales do not belong to any country kwa sababu wana -cross borders, na wengine wanacross continents. Ujinga wa mtu mweusi kwa kweli haupimiki!
 
Ukitaka kujua corruption ya Wajapan kwa island nations na sasa naona wanaingia kwa Waafrika, ili wasi support mikataba ya kimataifa ya anti-whaling, angalia documentary ya "The Cove"
 
Ukitaka kujua corruption ya Wajapan kwa island nations na sasa naona wanaingia kwa Waafrika, ili wasi support mikataba ya kimataifa ya anti-whaling, angalia documentary ya "The Cove"

Actually the Cove sijaiangalia bado, lakini nasikia majuzikati jamaa walikataa isioneshwe kwenye majumba yao ya sinema huko Tokyo sijui wapi .. Hawa jamaa na wachina ni watu wa kuwaangalia kwa macho matatu.
 
If you want to know who Japanese are go to Kitonga Hills and Kilwa Road. Kitonga hills road was expected to last minimum 50 year. Five years down the line is finished completely.

Kilwa road is rotten before ahnding over. Those are Japanese in their true colours. You might find our poor leaders were given "good girls' only; not even money.
 
Killing whales is wrong, Japan claims its for 'research' but it is a country of short little men with sinister hearts and small penises. Dont let anything they have done after 1945 fool you, hawa watu ni war mongers na ni nchi ya watu wenye roho mbaya (the women are fine but hv no real say)...Tokugawa era,Meiji era yani before they discovered the rest of the world, they were busy with centuries of civil war. Whales are highly intelligent mammals that should be valued and protected due to their unique value as a species and their evolutionary significance. Its a shame.
 
Hawa viongozi wanatia aibu. Na mbaya zaidi ni hawa wa Tanzania ambao hawakuangalia hata cha msaada wala nini. Walikenua meno na kuchekelea kuwavua chupi watoto wa Kijapani kumbe wanauza nchi na urithi wa watoto wao + Wajukuu. Hii ni aibu ya mwaka 2010!!
 
Chairman's illness threatens whaling deal

ANDREW DARBY HOBART

June 14, 2010


A HOTLY disputed global deal on whaling has been dealt a serious blow with the withdrawal of its chief architect, just before a crucial meeting.
The International Whaling Commission's chairman, Cristian Maquieira, has pulled out of the 88-nation organisation's meeting in Morocco due to ill health.
Mr Maquieira, from Chile, spent the past year trying to craft the deal to heal a deep divide between pro- and anti-whaling countries in the commission.
Under his plan, whaling countries would get reduced commercial catches in return for closing loopholes such as the scientific whaling clause that Japan uses to hunt in the Antarctic.
The Rudd government strongly opposes the plan.
The Environment Protection Minister, Peter Garrett, said commission members were being asked to allow Iceland, Japan and Norway to hunt almost 13,000 whales over the next 10 years.
"This year's meeting in Morocco is a new crossroads in the battle to conserve and protect the world's whale populations," Mr Garrett said yesterday. ''The Australian government cannot accept this proposal as it currently stands.''
The Japanese government gave conditional support for a potential deal before the replacement last week of its agriculture and fisheries minister, Hirotaka Akamatsu, over a domestic outbreak of foot-and-mouth disease.
Other anti-whaling countries such as the United States also hope the plan can be the basis for a compromise at the commission's annual meeting, which opens next Monday in Agadir.
Since they unveiled the deal, Mr Maquieira and his vice-chairman, Anthony Liverpool, of Antigua and Barbuda, admitted to having a rough ride. ''Given the criticism we have received from all sides, we are probably not far off the correct balance!,'' they said in a recent media statement.
Mr Maquieira was under domestic political pressure for advocating the deal. Two Chilean senators last week calling for his replacement as the country's commission representative.
The commission's secretariat gave little indication of Mr Maquieira's condition, issuing a short circular to members describing his ''unfortunate'' withdrawal as being due to ''reasons of ill health''.
Mr Liverpool is preparing to chair the meeting. He is from a pro-Japanese Caribbean island nation but won praise from observers for his neutral handling of a recent commission working group meeting.
His job will not be helped by news of a sting published in a London newspaper yesterday, which will embarrass Japan and countries it has recruited to the commission.
Reporters from The Sunday Times, posing as representatives of a Swiss billionaire conservationist, offered money for some developing countries to switch their votes. They gathered evidence confirming that countries including Kiribati, Tuvalu and Tanzania were paid by Japanese interests to attend whaling commission meetings.
Tanzania's commissioner in London, Geoffrey Nanyaro, told the reporters he feared his country might lose development aid if it voted against the Japanese.
''He said that Japan 'secretively' paid tickets and hotels for the IWC delegates from different countries,'' The Sunday Times said. ''They were also, he claimed, taken on all-expenses-paid visits to Japan where 'good girls' would be available.''



Chairman's illness threatens whaling deal


Well the story is being picked up by more and more news agencies. Very embarrassing
 
Chairman's illness threatens whaling deal

"Tanzania's commissioner in London, Geoffrey Nanyaro, told the reporters he feared his country might lose development aid if it voted against the Japanese."

What does this statement mean?

Approval of what they took from the Japanese? Money and girls?
 


What does this statement mean?

Approval of what they took from the Japanese? Money and girls?

Ndo hivyo mkuu! We are so cheap, upstairs and now even down stairs. Getting a bribe in form of "Good girls" is too low for anybody with sound mind! If they wanted such girls why didn't they go to Joly Club or anywhere else in the City?

Tayari tutapa jina hapa, kwamba sote ni "Wazee wa good girls". Hii inanikumbusha tuhuma za Mtikila kuwa wanawake waliohudhuria mkutano wa Beijing kwenye miaka ya 90 walikutwa na condoms kwenye mikoba yao. Kwa hiyo tunapopata nafasi ya kusafiri nje akili zetu zinahamia kwenye mtandao wa chini. Hii ni aibu! Labda ndo maana boss wao pia anapenda safari ili atumbue na Good Girls!!
 
Hawa viongozi wanatia aibu. Na mbaya zaidi ni hawa wa Tanzania ambao hawakuangalia hata cha msaada wala nini. Walikenua meno na kuchekelea kuwavua chupi watoto wa Kijapani kumbe wanauza nchi na urithi wa watoto wao + Wajukuu. Hii ni aibu ya mwaka 2010!!

Hatari hii inakuwa mbaya zaidi pale nchi inapokuwa na viongozi wanaopenda ufuska; wanatafutiwa machangu doa halafu wanatia saini mikataba bila kusoma!! Hapo ndipo athari za kuchagua viongozi wasio kuwa na maadili zinapoonekana na baadae hata kuangamiza nchi!.
 
Hatari hii inakuwa mbaya zaidi pale nchi inapokuwa na viongozi wanaopenda ufuska; wanatafutiwa machangu doa halafu wanatia saini mikataba bila kusoma!! Hapo ndipo athari za kuchagua viongozi wasio kuwa na maadili zinapoonekana na baadae hata kuangamiza nchi!.

Kweli mkuu ila hii ni hatari. Wanaume wengi wanapenda wanaweke au totoz ila ni wachache ambao wanakuwa wajinga kiasi cha kuuza uhuru wao au kutelekeza familia/nchi. Hapa tulipofika ni pabaya sana tena kama suala lenyewe lina maslahi kitaifa na kimataifa! Ni vigumu kuamini kama wawakilishi wetu wa kiwango hicho wanaweza kushiriki huo upuuzi. Naona tumelaaniwa!
 
Kweli mkuu ila hii ni hatari. Wanaume wengi wanapenda wanaweke au totoz ila ni wachache ambao wanakuwa wajinga kiasi cha kuuza uhuru wao au kutelekeza familia/nchi. Hapa tulipofika ni pabaya sana tena kama suala lenyewe lina maslahi kitaifa na kimataifa! Ni vigumu kuamini kama wawakilishi wetu wa kiwango hicho wanaweza kushiriki huo upuuzi. Naona tumelaaniwa!

Halafu wanaficha maovu yao kwa kisingizio cha tutakosa misaada, kweli hii ni aibu ya mwaka!
 
Hii siyo aibu tu ni balaa! Tanzania sijui tutakuwa na mangapi ya aibu hapa duniani. Mara mauaji ya albino mara tunaamini uchawi kwa 99%. Hii nchi yetu imekaa chini ya mionzi ya jua isiyo ya kawaida nini? Na haya mambo yanafanyika hata kwa mikataba ya ndani ya nchi haswa ya kutoa tenda nk. wanaletewa vibinti vya k....sia wanaweka sahihi, hili usinitake nitoe udhibitisho pata mikataba usome ujiulize nini kinapelekea kiongozi kushinikiza Kampuni anyoipenda yeye ipewe tenda kinyume na taratibu zilizopo.
 
Tanzania kama nchi ilishaamua itapiga kura namna gani. Wawakilishi wa Tanznia kwenye mikutano kama hii huwa wanapewa Instructions kutoka serikalini na sio kufanya kama watakavyo. Wahongwe wasihongwe that does not matter since the decison is already made at home. Unless mwakilishi amepewa special powers ku negotiate i.e. plenipotentiary powers.
Pili mikataba/makubaliano huwa hayawi effective immediately ili kuipa nafasi nchi ku withdraw, ama kuweka pigamizi kwenye vipengele fulani fulani ama kusubiri idhini ya bunge la nchi husika.
 
Tanzania's commissioner in London, Geoffrey Nanyaro, told the reporters he feared his country might lose development aid if it voted against the Japanese.

The same old stupid excuse..Kama hii ni hoja, na hao wanawake na mlungula mlipokea za nini. Nyie ni WASHENZI tu hakuna cha aid wala nini.
 
lakini toka lini viongozi wa Afrika hawakuhongwa ''call girls''. Kwanza wote hao, TZ na wengineo, wakienda nje ya nchi cha kwanza ni kutaka kufanya ama kushabikia ufuska maana hamna kingine chochote ambacho wanaweza fanya vizuri na serikali zao haziwajibiki kwa raia wao. Mikataba wanaandikiwa tu na wenyeji wao wapendavyo na wao ni kuanguka tu sign, hata siku moja hatujajitolea kuwa waandishi wa hiyo mikataba. Ukienda China lunch ni 'nyagi' ya huko na 'ka changu doa' mpaka saa tisa alasiri, saa kumi kusign mkataba ama kabla tu ya kuelekea Airport kwa safari ya kurudi kwenu, wakati ama una hang-over ya kachangu ama nyagi. Kwa namna fulani ni mila ya kweli ya huko pia Japan, nk ili kumlainisha mteja, lakini Waafrika wanaingia kichwa kichwa. Labda ni kweli wengine wanapodai damu ya mweusi moto sana, akiona tu changu anapata mfadhaiko na matokeo ni ubongo kukosa damu maana yote imeenda kusikotakiwa. Ubongo bila damu, kufikiri ni sifuri.
 
Nadhani huyu Bwana Nanyaro aidha hakueleweka au kajieleza vibaya....mimi nimeelewa kuwa wawakilishi wa hayo mataif yaliyotajwa wailpewa ngono rushwa na kwa vile hakusema aliipokea basi tusimlaumu.Msimamo wake wa kuunga mkono Japan ni kuogopa kukosa misaada na sio hivyo vichupi.Huo msimamo sio wake ni wa walio juu yake vinginevyo watu wa Tegeta tutakosa ile barabara....na flyovers
 
This is really bad!!

Kama ni kweli basi sijui magufuli atajibu nini akisoma hii... BTW, it is typical british tabloid, alway portraying poor countries like silly babies who can always be cheated etc.\

vita yao na japan kuhusu whales iko sana tu, mkipata nafasi angalieni documentaries kwenye national geographic

DN
 
Back
Top Bottom