Novel yangu sasa inapatikana Maduka ya Vitabu Mlimani City, Samora Ave na Quality Center

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
135354_10151200445901156_473669026_o.jpg

NOW AVAILABLE IN MAJOR BOOKSTORES IN DAR: "Majeruhi wa Mapenzi...." Kitabu ambacho kimekuwa ni gumzo kwa wasomaji wa lugha ya Kiswahili... sasa unaweza kukipata maduka ya Scholastic (Mlimani City) pamoja na maduka ya TPH (Samora Avenue na Quality Center): Bei ya reja reja ni 18,000 japo maduka yanaweza kuuza chini ya hapo kidogo.

Wahi nakala yako sasa!!! Kupata nakala yako maduka ya TPH piga simu: (Samora Avenue inatazamana na iliyokuwa Salamanda Hotel) 0614 115700, 0687 238126. na namba za Quality Centre ni 0767 512545.

Kupata nakala yako maduka ya Scholastic (Mlimani City) nenda tu pale.

Kwa wale walioko nje ya nchi bado kitabu kinapatikana kupitia Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more (kwa Wamarekani) na Ulaya kinapatikana http://www.amazon.eu (chagua nchi ambayo unaweza kutumiwa kutoka). Sehemu nyingine zote kinapatikana kwa Kindle (e-book).

Riwaya nyingine mpya iko jikoni..... stay tuned

Na wale ambao tayari mmepata nakala zenu, asante kwa kuendelesha lugha yetu na kuniunga mkono!! Mbarikiwe mpaka mpigwe na butwaa na mseme "duh!! huyu Mungu huyu!!!"
MMM (Mtunzi)
 
Wow, MMK hizi promotion nadhani zilipaswa kufanywa na publisher... au? anyway asante kwa taarifa, hususan TPH shop. ntaenda kupata nakala yangu pale!
 
Publisher ni mimi mwenyewe... lol.. thanks!

Ook for sure ntakutafuta. i have a number of publications (books) on sale through various publishers Tz na Kenya. In terms of returns, kwa kweli hakuna kitu cha maana from there! Sijui kama kuna unafuu wowote when you publish it yourself. inawezekana hii fear yangu inanipoteza opportunities za kupata kifuta jasho kutoka kwenye kazi zangu. Ntakutafuta Mzee thru PM ili unipe ushauri zaidi
 
Duuuh, ngoja nimpigie simu nanihii wangu akiendee nikisome kabla hakijaisha pale mlimani city!
 
Duh hiki kitabu umekitangaza sana kesho ntapitia mlimani city nione kina habari gani ndani
 
135354_10151200445901156_473669026_o.jpg

NOW AVAILABLE IN MAJOR BOOKSTORES IN DAR: "Majeruhi wa Mapenzi...." Kitabu ambacho kimekuwa ni gumzo kwa wasomaji wa lugha ya Kiswahili... sasa unaweza kukipata maduka ya Scholastic (Mlimani City) pamoja na maduka ya TPH (Samora Avenue na Quality Center): Bei ya reja reja ni 18,000 japo maduka yanaweza kuuza chini ya hapo kidogo.

Wahi nakala yako sasa!!! Kupata nakala yako maduka ya TPH piga simu: (Samora Avenue inatazamana na iliyokuwa Salamanda Hotel) 0614 115700, 0687 238126. na namba za Quality Centre ni 0767 512545.

Kupata nakala yako maduka ya Scholastic (Mlimani City) nenda tu pale.

Kwa wale walioko nje ya nchi bado kitabu kinapatikana kupitia Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more (kwa Wamarekani) na Ulaya kinapatikana Amazon Europe (chagua nchi ambayo unaweza kutumiwa kutoka). Sehemu nyingine zote kinapatikana kwa Kindle (e-book).

Riwaya nyingine mpya iko jikoni..... stay tuned

Na wale ambao tayari mmepata nakala zenu, asante kwa kuendelesha lugha yetu na kuniunga mkono!! Mbarikiwe mpaka mpigwe na butwaa na mseme "duh!! huyu Mungu huyu!!!"
MMM (Mtunzi)

Ili niweze kukikosoa itabidi nipate nakala na kukisoma. So nitachukua nakala yangu soon....
Well done MMM .
 
Watanzania tuna allergy ya kusoma vitabu, kwa nini usiangalie uwezekeno wa kuibadili iwe kwa njia ya senema. Unachukua actors wa Bongo movies, Kila nyumba kutakuwa na copy, huwezi amini.
 
Watanzania tuna allergy ya kusoma vitabu, kwa nini usiangalie uwezekeno wa kuibadili iwe kwa njia ya senema. Unachukua actors wa Bongo movies, Kila nyumba kutakuwa na copy, huwezi amini.

Tunatarajia kwenda huko; mambo yakikaa vizuri tunaanza kurekodi filamu mapema mwakani... stay tuned.. !!
 
Tunatarajia kwenda huko; mambo yakikaa vizuri tunaanza kurekodi filamu mapema mwakani... stay tuned.. !!

Achana na mambo ya hadithi hadithi rudi kwenye Siasa eg ukitoa kitabu kinachohusu mauaji ya Zanzibar (Mkapa) Mwanza, Arusha, Morogoro, Iringa na yanayoendelea nafikiri chapu chapu ngawila tosha..then kiasi unaidumbukiza CDM au vipi mzee?
 
mbona naamini wengi wameshaandika haya; labda nitaandika kimoja ambacho ni non-fiction in the near future
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom