Noti za hela zilizochakaa hupelekwa wapi ?? Kwanini mpaka sasa nchi yetu inatumia sarafu 2 tofauti ?

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Hello JF !!

1. Nimekua nikijiuliza hili swali mara kwa mara bila kujipatia jibu......kama ina vyojulikana kwamba iwapo una pesa yeyote iliyo chakaa mtu unalazimika kuipeleka bank ili upewe note mpya...ningependa kujua hii process ya recycling of our currency inakua vp?? yan inakuaje kuaje, pesa zilizo chakaa bank wanazipeleka wap na pesa mpya kuingizwa kwenye system.

2. kwann mpaka sasa nchi yetu inatumia currency mbili tofauti ?? nashindwa kuelewa....z t possible that kuna lots of dirty money loitered around ?? serikali inachukua hatua gani kuhusu hili swala ??

Ni hayo tu.
 
Mimi hapana elewa vv, currency mbili what do you mean uncle??
 
weka maelezo barabara then ss tuasaidia vv sava dugu
Acheni saundi bana, jamaa ameeleweka!

Ila shida yake ni hilo neno currency...Currency maana yake Tshs, Kshs, Us$ etc.
Unapozungumzia fedha za ndani ya nchi moja, hata zikiwa na sura tofautitofauti(kama zilivyo noti zetu) huwezi kusema currencies, ni notes tu!

Noti zikishachakaa zinakuwa shreded(kusagwa na mashine shreder) na kutengenezwa blocks kama za chakula cha mifugo, lakini ndogo zaidi, na hutupwa dampo!
Mtaani kwangu kuna jamaa wanachukua hizo blocks za noti dampo, wanazitumia kama fuel, zinatoa moto mkali sana.
 
Hapa kuna wizi ulifanyika kwa hizo vifaa vya kuaribu fedha mbovu(noti) jamaa aliagiza 26
 
Acheni saundi bana, jamaa ameeleweka!

Ila shida yake ni hilo neno currency...Currency maana yake Tshs, Kshs, Us$ etc.
Unapozungumzia fedha za ndani ya nchi moja, hata zikiwa na sura tofautitofauti(kama zilivyo noti zetu) huwezi kusema currencies, ni notes tu!

Noti zikishachakaa zinakuwa shreded(kusagwa na mashine shreder) na kutengenezwa blocks kama za chakula cha mifugo, lakini ndogo zaidi, na hutupwa dampo!
Mtaani kwangu kuna jamaa wanachukua hizo blocks za noti dampo, wanazitumia kama fuel, zinatoa moto mkali sana.

thanx mkuu kwa kuwaelimisha....and hizi notes exactly zinateketezwa wapi?? hapa hapa nchini au nnje ?? hiyo sehemu inaitwaje kwa kingereza/swahili ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom