Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI

"Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi, imepelekea wananchi kupata matatizo makampuni yamekimbia" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Waziri wananchi wanakutegemea kutoa haki, Sheria ya Ardhi na mabaraza yaboreshwe kwani yanamkandamiza mwananchi " - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Kwanini tunaendelea kung'ang'ania mabaraza chini ya Wizara? Bora yawekwe chini ya mahakama ili kutoa haki kwa Watanzania" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.
 

Attachments

  • FxCkgRfXoAIGHrj.jpg
    FxCkgRfXoAIGHrj.jpg
    24.2 KB · Views: 1
Uyo waziri nae fisadi TU
bill 47 kulipana posho tu kwny vikao kutoka kwenye pesa za mkopo wa benki ya dunia hainipi imani na uadilifu kwny huo uwaziri wake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom