No title..

Miss Bantu

Senior Member
Apr 30, 2012
153
141
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan.!!! usione soo, sema nae
 
Miss Bantu, Wababa Pia walikuwa kwenye kimyang'anyiro?
 
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan.!!! usione soo, sema nae

Inaonesha wazi attempt 1 ilifail kudeliver. Ngoja tuone hii...
 
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan.!!! usione soo, sema nae

ah jaman c uxeme tu mi ndo mshndi.. xa zawad yangu nkutafte lin.!??
 
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan.!!! usione soo, sema nae
..hii mie sikuiona..ningejitosa kujaribu bahati..
 
Back
Top Bottom