No strings attached....

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali
 
ipo
wapo
tafuta utawapata.

bt y u like t?
style yako imekaa kijeruman sana
 
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali

Mi nakataa hakuna!

Humo kwenye company/kampani kumefichamo "obligations" asikudanganye mtu!
 
Technically yes, but in reality I think not . You may start as such but somehow and somewhere along line ...................it ends up becoming a mess. From what I have seen so far, of similar relationship arrangements eventually, emotions and feelings creep into one of the patners and then inakuwaga matatizo
 
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali

Jaribu kujiepusha na hayo kwa kuwa sio maadili yetu lakini kikubwa Mungu haruhusu hilo labda kama utakuwa humuamini.
 
kwani ukiwa na huyo wa company utakua una mwingine uliyejicommit kwake? Well...jibu liweke kando! Hofu yangu ni kwamba haya mambo yanayohusisha emotions na feelings hayana si unit! Mtaanza km marafiki wa kawaida..mtalay terms na conditions of which si wewe ama yeye atakayezifata effectively, consequences zake ni kwamba mtajikuta mmeenda too far kwenye nyoyo zenu ama mmoja zaidi kwa mwenzake,na hapo ndipo kizungumkuti kinapoanzia!
 
nimekupata vizuri sana mkuu, unakuwa hauko kwenye rltnship yoyote, ni pale ambapo hauko tayari kuwa committed kutokana na mpangilio wako wa maisha lakini pia huhitaji kulaumiwa kwa kuonekana hujali wakati huo huo unahitaji kampani, pumziko na ku-get laid lakini hutaki kuingia kwny mikikimikiki ya mauhasiano.....uki-fall duh hapo ndio shughuli inaanza kuwa ngumu...
 
Wapo sana mkuu

unawafahamu vp ati DA, nimekuwa nikisikia watu waliokuwa kwenye mahusiano hata ya casual tu wakiachana au kuachwa wakilalamika kuwa wamechezewa na kupotezewa muda tu, napata picha kwamba watu wengi target yao ni kuoana...
 
Jaribu kujiepusha na hayo kwa kuwa sio maadili yetu lakini kikubwa Mungu haruhusu hilo labda kama utakuwa humuamini.

nimekuelewa mkuu, hapa naongelea zaidi ki-neutral perspective nadhani watu wengi humu wanachangia katika mtizamo wa kidunia zaidi kuliko kiimani...naomba kuwakilisha
 
Ingekuwa ni vizuri ningekuwa wakwanza kuwa na mtu wa kampani hivyo tatizo after luv future is next.
 
Nishawahi kupata mmoja alikuwa bosi wangu, divorced, independent, financially stable. She called whenever she wanted it (I'm serious about her wanting 'it', not wanting 'me'). Siku nyingine alikuwa ananiita kwake odd hours of the night, nachukua taxi nakwenda, asubuhi narudi ghetto kwangu. Sikuwahi kunywa hata juice pale kwake, na hatukuwahi kwenda outing yoyote, nikaelewa mwenzangu shida yake ni naniliu tu, hataki 'strings attached'. Siku nilipoelewa tofauti ni pale aliponiambia nibaki naye ofisini jioni ana issue, nikadhani mwenzangu leo anataka kujaribu fantasy fulani ofisini kwake na mimi, nikaona itakuwa poa. Kumbe alichoniitia ni kuninanga mara 'unaendekeza mashangingi, hawatakusaidia kitu, blah blah blah' Nikamwuliza vipi mbona sikusomi? Akadai amesikia natoka na bosi mwenzie mwingine sijui nini nini (of course ni uongo sijui aliuokota wapi), lakini nikamshangaa imekuwaje tena si ulisema mwenyewe kuwa iwe 'no strings attached, sasa hii ndo nini? Ni ngumu hii kitu mazee!
 
Haya mambo ya ****buddy na friends with benefits ni rahisi mno kuyazungumza lakini wengi yanawashinda kabisa. Huwezi kujiachia kwa mtu namna hiyo halafu usijenge feelings kwa mtu huyo. Nasikia wanaume ndiyo huwa wa kwanza kuvunja hiyo mikataba ya FB na FWB kwa kuanza kuomba kupikiwa, kufuliwa na hata kuuliza yule uliyekuwa naye jana ni nani (WIVU)? Si ajabu hata wanawake nao wangetamani kuuliza yale yanayowakera katika mahusiano kama haya lakini wenzetu labda ni wazuri mno katika kuficha feelings zao.
 
Negro wake up sleeping for fun and no relationship? Even friends they have platonic relationship and they do not do the s** word...
 
Technically yes, but in reality I think not . You may start as such but somehow and somewhere along line ...................it ends up becoming a mess. From what I have seen so far, of similar relationship arrangements eventually, emotions and feelings creep into one of the patners and then inakuwaga matatizo

That's true Dada! I've had some experiencies (with Europeans ladies who tend to be liberal) that at the beginning they insisted on "without commitment" but soon they changed the original idea and became a hell.
 
Back
Top Bottom