CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
- Thread starter
- #21
Dikteta ni wale ambao wanatumia muda mrefu kusafiri badala ya kushughulia matatizo ya ndani Kama madaktari walimu kuuza rasilimali za nchi kwa faida ya watu wachache Pamoja na kutumia vyombo vya dola kukandamiza upinzani achilia mbali kuingia madarakani kwa kutumia Tume ya uchaguzi kukuibia kura hao ndio madikteta tunaotakiwa kuwa zungumzia sasa meles zenawi alikuwa hivyo?
Kwahiyo hata mwenyekiti wa Chama cha mabwepande ni dikteta
Pamoja na yote hayo, when it comes to human rights, Meles was no good at all. Inawezekana JK hatimizi wajibu wake tulivyomtarajia alipotoa hotuba yake bungeni, but that is not a justification to rate Meles as a hero because JK has failed. JK has failed Tanzanians expectations in terms of economy, Meles has failed Africa continent and Ethipia in human rights. It might be true kwamba kiuchumi amefanya vizuri comparative to Tanzania.