no class kumbe ni noma

umtwale

Member
Jun 3, 2011
52
3
wife wangu ni form 4 na mama wa house_kingaste ni std seven na tajir kwel kwel_hata cku moja ckuweza kujua the gap btn wife na kingaste _cku moja nikamuomba ruhusa wife ili nitoke alone kwa mising kuwa naenda kwny official party kumbe namtoko na kinganste_lakn kwa kuwa wife ni st kayumba alinielewa na kuniruhusu@ kwny party nikahudhuria na kingaste_huko nikakutana na classmet wangu dem_ghafla tukaanza kuchat kwa ya long na yaliyokuwa yakijil ukumbin_aisee pamoja na kwamba kingaste nilikuwa nimemtambulisha kwa classmet na kuchekeana_aligeuka na kuwa mlal kuliko maelezo_alitoka nje na kuwasha gar yake na kuondokana mim nikaowasha nikarud hom_nachoshangaa iweje wife asikatae kumuacha nitoke na kingaste ila kingaste anikatalie kuwasiliana na ciassmet_hapa.ndo nakumbuka kuwa wif ni st kayumba na kingaste ni no class ingawa ni tajir_aise kumbe no class ndo wapo ivo afadhali nh baki na ma wife sikito wa ukwel
 
Namsikitikia na kumuonea huruma
mkeo... umeoa bado unajRibu kujaza
Maji kwenye chujio...
Dahhhhh balaa tupu ...
 
Kwa hiyo umekuja kuanika uchafu wako hapa ili iweje? Use your brain properly.
 
muheshimu mke wako,haifai hivyo kijana.si story nzuri ya kuielezea humu.inaonyesha kama unaona sifa,sifa kama hizo hazifai
 
Hv kwan ni lazima kufanya hivyo?? Hv huwa mnaona ili iweje?km vp usingeoa tu
 
Yeye no class anaweza kusamehewa kwa alivyobehave sasa wewe mwenye class mbona u are not any better - u still childish. didnt the class make a decent person out of u?
 
kwa kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.......!! jiandae kuja kulipa hayo unayomfanyia mke wako, kwani UTAPIGWA SANA NA MUNGU......!!!
 
Endelea kwani no class na kuwa na narasa linatofautisha au kupunguza ukali wa nyeg.... Na ufuska hiyo ni tabia yako mkuuu
 
wife wangu ni form 4 na mama wa house_kingaste ni std seven na tajir kwel kwel_hata cku moja ckuweza kujua the gap btn wife na kingaste _cku moja nikamuomba ruhusa wife ili nitoke alone kwa mising kuwa naenda kwny official party kumbe namtoko na kinganste_lakn kwa kuwa wife ni st kayumba alinielewa na kuniruhusu@ kwny party nikahudhuria na kingaste_huko nikakutana na classmet wangu dem_ghafla tukaanza kuchat kwa ya long na yaliyokuwa yakijil ukumbin_aisee pamoja na kwamba kingaste nilikuwa nimemtambulisha kwa classmet na kuchekeana_aligeuka na kuwa mlal kuliko maelezo_alitoka nje na kuwasha gar yake na kuondokana mim nikaowasha nikarud hom_nachoshangaa iweje wife asikatae kumuacha nitoke na kingaste ila kingaste anikatalie kuwasiliana na ciassmet_hapa.ndo nakumbuka kuwa wif ni st kayumba na kingaste ni no class ingawa ni tajir_aise kumbe no class ndo wapo ivo afadhali nh baki na ma wife sikito wa ukwel

Hivi dunia ya leo bado kuna watu mnaendelea ku-cheat wake zenu? ni ushamba wa hali ya juu, kutoelimika, ulimbukeni, na uzumbukuku uliopita kikomo. Achana na huo upuuzi, tulia na mkeo mjenge familia yenye ustaarabu. Huo muda unaopoteza na hawara si bora uutumie na mkeo na watoto (kama mnao)? Nimegundua siku nyingi sana, kuendekeza mahusiano nje ya ndoa ni mzigo mzito sana kuliko gunia la kilo 200 za miba.
 
Back
Top Bottom