No Changes without Sacrifice

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Kama ilivyo risk katika investment, hii motion ya Madaktari kugoma ni risky but kama wajasiriamali wanavyo 'take risk', Doctors pia wanahitajika kuchukua 'risk' . Kama mjasirimali anavyopata faida baada ya kuchukua risks kadhaa..doctors pia...Tatizo kubwa ni kwamba wengi wetu hatupendi kuchukua risk na bahati mbaya wengi wetu tunafikiria nini kitatokea baadae badala ya kuangalia nini tunachoweza kufanya kitokee kwa manufaa yetu,
Ni kawaida mtu kufikiria Pension ya uzeeni,wakati you don't even know you'll leave to see that age! People are worried of the future, unknown , instead of being worried of the current time,the known. Everyone knows what will happen kama madaktari wakigoma, but every one knows mabadiliko yatakayotokea hasa kutokana na kasumba ya sasa kuwa bila mgomo hakuna mabadiliko!
Ni jambo lenye machungu kwa wananchi na hata madaktari wenyewe na familia zao, but sacrifice huleta faida baadae kwa wanatakaoguswa na mgomo directly au indirectly
 
Back
Top Bottom