No Changes in Uganda

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
  • ELECTION RESULTS
based on 2,359,147 votes​


  • Election Highlights
Museveni on the brink of 2011 victory

The fourth provisional results show President Yoweri Museveni, the NRM candidate is in the lead. Dr Badru Kiggundu is expected to announce the winner as business closes today.


it is routine in africa elections,opposition never wins
 
No surprising.... uongozi ni mtamu, we imagine Mubarak is reacher than Billy Gate
 
anatengeneza mazingira ya kugombea uraisi wa East Africa
vote counters wa opposition simu zao zilikuwa blocked zisitume msgs!
Besigye alipotaka kuannounce matokeo wanajeshi wakavamia kituo...
Why all this?
 
yeah Museveni has done it again, kuondoa shari ageaachia madaraka kama rawlings wa ghana.Huyu jamaa kwa jinsi alivyowachanganya hasa wa kabila la Buganda yaani wanamchukia vibaya sana.Kuna mganda alikuwa ananiambia kwamba usione amani Uganda- watu wametulia tu,ila muda wowote mlipuko utatokea, na wakulaumiwa ni MUseveni.
 
Ina maana sasa Museveni atatawala Uganda kwa zaidi ya miaka 30. Na keshasema atasimama tena come 2016!!!
 
Yaani ule uvumbuzi wa mafuta umemrudisha babu Museveni? This is shame and sad. I believe vote rigging and buying people to vote for him (the old man), was his number one priority at his re-election campaign.
 
Back
Top Bottom