No arms,No legs,No worries.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Mara nyingi tunapo pata ajali tu na kupoteza baadhi ya viuingo vya
miili yetu tua mlalamikia sana Mungu.Lakini kuna wengine wanatamani hata huo mguu/mkono
mmoja ungekuwa nao.

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo,...Nick Vujicic (Tamka Nick Voicheech) alizaliwa bila mkono wala
mguu,...alimshukuru Mungu ingawa alipitia mengi sana hadi kuwa hapo alipo leo.

Ni motivational speaker,ametoa dvd yake inaitwa "No arms,no legs,no worries" ni nzuri sana.
Ina kupa moyo wa kusonga mbele na kuto choka katika kila hali.

Itafute.


nick-vujicic-01-thumb.jpg


nick_vujicic_03.jpg
 
Anacheza michezo mingi sana,ana afya tele.
tulio na miguu hata mazoezi hatufanyi.

nick-vujicic-08-thumb.jpg
 
Kuogelea huwezi muacha pia,...Una fanya nini na kile ulicho nacho?

nick-vujicic-09-thumb.jpg

nick_vujicic_07.jpg
 
Amesoma sana pia,ana Bachelor's degree, majoring in Accounting and Financial Planning toka Griffith University, Australia

nick_vujicic_02.jpg

nick_vujicic_05.jpg
 
Namshukuru mungu kwa kile alichonijalia...............kama ilivyo mwanzo,sasa,na hata milele............Amen
 
Namshukuru mungu kwa kile alichonijalia...............kama ilivyo mwanzo,sasa,na hata milele............Amen

Kweli, yatupasa tumshukuru MUNGU kwa kila kitu. Tatizo wanadamu sisi huwa ni wasahaulifu. Wepesi wa kulaumu, na wagumu wa kugundua mema na baraka tulizoshushiwa.. Mungu atusamehe..
 
Kweli, yatupasa tumshukuru MUNGU kwa kila kitu. Tatizo wanadamu sisi huwa ni wasahaulifu. Wepesi wa kulaumu, na wagumu wa kugundua mema na baraka tulizoshushiwa.. Mungu atusamehe..

Ni vyema kukumbushana,kila mtu husahau.
 
Is all about being Positive ..

But sometimes negativity is very powerful that in some
situations you fail to tell which is positive and which is negative.

It's just Grace that takes you from a hopeless situation to a hero.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom