NMB ni bank inayopata faida sana kwa sasa, ila huduma zake kwa wateja ni za hovyo sana!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,940
4,125
Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma

Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu

NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
 
Mimi huwa ninashangaa hata ile tuzo yao waliyopewa hivi karibuni walipewa kwa kigezo gani!

Maana ni kawaida sana ukienda kwenye benki yao, ukakuta kati ya madirisha 5 ya kuhudumia wateja; yanayotoa huduma ni mawili tu!

Kiufupi kusimama foleni kwenye benki ya NMB kwa masaa kadhaa, ni jambo la kawaida sana kwa mteja.

Nmb mnatakiwa kuboresha huduma zenu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom