Njoo ule chakula kizuri Kapeace.

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
5,298
7,646
Kapeace naomba ukipata off uje nikupikie bilinganya za nazi na hata ukitaka mbichi pia wewe njoo uchume shambani zipo nyingi sana na ni kubwa sampuli hii.
bilinganya.jpg
 
Naona unatongoza kijanja...mke wa mtu huyo utauliwa bure
Mkuu nitake radhi,mimi na kapeace tunaheshimiana sana kumkaribisha nyumbani akachume mabilinganya nimemtongoza?Basi hata mama sabrina aje tu.
 
Mkuu nitake radhi,mimi na kapeace tunaheshimiana sana kumkaribisha nyumbani akachume mabilinganya nimemtongoza?Basi hata mama sabrina aje tu.
Tena nyie mnaosemaga hivo ndo hatar kupindukia
ningekua mimi nimegundua nakueka selo miez 6 utamtumiaje mke wa mtu picha kama hio
 
Tena nyie mnaosemaga hivo ndo hatar kupindukia
ningekua mimi nimegundua nakueka selo miez 6 utamtumiaje mke wa mtu picha kama hio
Kwa hiyo ni picha mbaya?hata ya chakula?Hebu muite kapeace mkuu.Unamteteaje mke wa mtu?au wewe mchepuko wake?
 
Back
Top Bottom