Njoo tutengeneze fedha ndani ya wiki moja

yakobo11

JF-Expert Member
Aug 10, 2016
510
736
UNAWEZA TAJIRIKA NDANI WIKI MOJA TU.

SASA FUATA MAELEKEZO HAYA KISHA NIONE KWA UFAFANUZI ZAIDI, KARIBU.

Amka Mwanamke ni kampuni iliyosajiliwa na msajili wa Makampuni (BRELA), na kupata usajili namba 130089 mnamo tarehe 06/10/2016.

Makao makuu ya kampuni hii yapo katika wilaya ya Nyamagana, Isamilo jijini Mwanza.

Kampuni inaongozwa na Mkurugenzi ambae anawajibika kwa Bodi ya Wakurugenzi yenye wajumbe saba (7) ambao wanachaguliwa na Mkutano Mkuu.

DHUMUNI KUU LA “AMKA MWANAMKE”

Ni kujenga uwezo wa wajasiriamali kwa kuwafundisha mfumo thabiti wa AMWA ili waweze kuwezeshana kiuchumi wenyewe kwa wenyewe moja kwa moja kwenye akaunti zao za benki.

Walengwa wakuu wa taasisi hii ni jamii yote yaani jinsia zote (WAKE KWA WAUME) inayofanya ujasiriamali na hasa wale wenye mitaji midogo au wanaofanya biashara zinazohitaji mitaji midogo ili kuikuza na kufikia viwango vya kati hadi vya juu.

MPANGO WA KUINUA MITAJI

Tangu tarehe 01/08/2016 “AMKA MWANAMKE” ilianzisha mradi wa kujenga uwezo wa kiuchumi wa wanajamii wa Mkoa wa Mwanza ikiwa chini ya taasisi yake iitwayo Amka Mwanamke Organization.

Mpango huu unatokana na mfumo uliotekelezwa kwa mafanikio makubwa nchini Italia. Hapa Mwanza mfumo huu ulianza na jumla ya nafasi saba (7) ambapo mmoja kati yao alinunua fomu ambayo ina majina ya watu hao saba (7) kwa Tshs. 2000/=. Kati ya hao saba, mmoja wao (TOP POSITION) aliingiziwa fedha kiasi cha shs. 2000/= katika akaunti yake na kiasi kingine cha Tshs. 2000/= kiliwekwa katika akaunti ya “Amka Mwanamke” kwa ajili ya gharama za uendeshaji (running costs). Nafasi ya Top Position iliamuliwa na wahusika wenyewe hao saba (7). Mpango huu umekubalika miongoni mwa jamii na unaendelea kukua vizuri.

KINACHOFANYIKA KATIKA HUU MPANGO

Kuna fomu za gharama (mtaji) tofauti tofauti kulingana na uwezo au uamuzi wa mdau.
Mtu ananunua fomu 1 kwa Tshs. 2000/=, 5,000/=, 10,000/=, 20,000/= , 50,000/= au 100,000/= kisha anaweka Tshs. 2000/=, 7,000/=, 15,000/=, 30,000/= , 80,000/= au 150,000/= kwenye akaunti ya mtu aliye namba 1 (TOP POSITION) na Tshs. 2000/=, 3,000/=, 5,000/=, 10,000/= , 20,000/= au 50,000/= nyingine anawekwa kwenye akaunti ya ”Amka Mwanamke” kwa ajili ya uendeshaji (running costs) , akisha ingiza Benki kiasi hicho cha fedha kwenye akaunti zote mbili ataleta Ofisini kwetu fomu yake aliyonunua pamoja na risiti za Benki (Pay in Slip). Kisha atachapiwa fomu zake 3 akiwa namba 5, 3 au 2. Ataziuza kwa watu watatu (3) tofauti na kila mmoja atampatia Tshs. 2000/=5,000/=, 10,000/=, 20,000/= , 50,000/= au 100,000/=, hivyo;

2,000 x 3= 6,000/=. Hivyo Tshs. 6,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

5,000 x 3= 15,000/= Hivyo Tshs. 15,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

10,000 x 3= 30,000/= Hivyo Tshs. 30,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

20,000 x 3= 60,000/= Hivyo Tshs. 60,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

50,000 x 3= 150,000/= Hivyo Tshs. 150,000/= aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

100,000 x 3= 300,000/= Hivyo Tshs. 300,000/= aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi.

Baada ya hapo na aliowauzia pia nao watatakiwa kufanya kama yeye alivyofanya, kutokana na watu kuendelea kununua fomu chini yake ataendelea kupanda kutoka namba 5,3 au 2 mpaka namba 1 (TOP POSITION ) . Hivyo mpaka anafika TOP POSITION kunakuwa na fomu;

243 kwa fomu yenye nafasi 5.

27 kwa fomu yenye nafasi 3.

9 kwa fomu yenye nafasi 2.

Kunakuwa na idadi ya fomu ambazo jina lake litaonekana akiwa TOP POSITION kulingana na fomu yenye nafasi ngapi. Ambazo jina la mhusika litaonekana akiwa namba 1 (TOP POSITION ).
Kwa fomu yenye nafasi 5 itakuwa na jumla ya fomu 243 ambazo jina lake litaonekana akiwa namba moja (TOP POSITION). Kwa fomu yenye nafasi 3 itakuwa na jumla ya fomu 27 na fomu yenye nafasi (position) 2 itakuwa na jumla ya fomu 9.

Hivyo iwapo watu;

243 watamuingizia Tshs. 2,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 486,000/=

27 watamuingizia Tshs. 7,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 189,000/=

27 watamuingizia Tshs. 15,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 405,000/=

27 watamuingizia Tshs. 30,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 810,000/=

27 watamuingizia Tshs. 80,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 2,160,000/=

27 watamuingizia Tshs. 150,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 4,050,000/=

9 watamuingizia Tshs. 80,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 720,000/=

9 watamuingizia Tshs. 150,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 1,350,000/=

Pesa au kipato hiki sio MKOPO, hivyo atakua na uwezo wa kuitumia ATAKAVYO. PESA HII SIO MKOPO BALI NI PATO LINALOTOKANA NA ILE ;

TSHS.6,000/=, TSHS.15,000/=, TSHS.30,000/=, TSHS.60,000/=, TSHS.150,000/= au TSHS.300,000/=

ULIYOWEKEZA.

KWA UFAFANUZI NA MAELEKEZO ZAIDI :

0620674279. / 0743073401.
 
Mshanikumbusha machungu ya DECI. Nilitunza risit mpaka zimechanika eti tutrudishiwa pesa zetu.
Ila DECI siwezi kusahau eti walituambia mbegu tulizo panda tutavuna mbunguni...
 
Jina la kampuni"AMKA MWANAMKE"
Wahusika Wanaume na wanawake.
Mnisamehe sana
 
Msitufanye bas wapuuz kias hicho jaman dah yaan hyo hela mnafanya kama maembe kuwa yataota tu
 
Hela ya kununua tu unga wa ' Ugali ' hatuna halafu unatupa tena ' Mtihani ' mwingine kama siyo ' Jaribu ' hili jingine.
 
Hipo kisheria , siyo utapeli, malipo yote yanafanyikia bank.
Ni nzuri sana kwa kuboresha maisha yako na familia yako Kaka.
Kwani matapeli hawatumii benki kutapeli? beside ni mambo ya wanawake perhaps unataka kuingiza wanaume vyoo vya kike!
 
Self donation doesn't work nendeni mkafanye kazi, hakuna Short cut bwana,We care,elnet,Amka nothing new.
 
Back
Top Bottom