Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za makafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Haiji kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wacnaqufr, kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutoka kwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.
Naunga mkono hoja. Tena hawa Washia makafri wasahau kula papuchi za mabikra 72 kule peponi, yaani wasahau. Pipe tutapiga sisi Wasuni tuu.
 
Raha ya kuwa na pesa usaidie na wengine,furaha ya wengine inakupa raha na amani moyoni ,ni uamuzi tu mi siku nikiwa na pesa nyingi lazima na wengine wale hasa wajane,Yatima na wazee
Kutoa kuna raha pia
Basi nakuja PM unipe furaha upate amani moyoni.
Kichwa yangu leo nailelewa mwenyewe naona maujinga ujinga tu yana pita mu kichwa yangu. 😆😆
 
"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704
Maamuzi yake binafsi yaheshimiwe.
 
Ni maisha aliyochagua kuishi, kila mtu aishi anavyoona inampa furaha. Kwa wengine kusaidia na kuona watu wake wanaishi vizuri ni furaha na inawapa amani ya moyo. Kwa pipo dizain ya Geremi hataki kushare chake na mtu.

Tujifunze kuelewa kila mtu ana uchaguzi wa maisha yake.
 
qView attachment 2943704
apewe uraia tanzania na kadi ya CCM
 
Ni maisha aliyochagua kuishi, kila mtu aishi anavyoona inampa furaha. Kwa wengine kusaidia na kuona watu wake wanaishi vizuri ni furaha na inawapa amani ya moyo. Kwa pipo dizain ya Geremi hataki kushare chake na mtu.

Tujifunze kuelewa kila mtu ana uchaguzi wa maisha yake.
huku bongo tutakuita Anti-social
 
"Ndio, Sihitaji Watu wanisumbue tena, Mimi sio Msamaria Mwema Kama Samuel Eto'o, Kwani yule Ni Eto'o na Mimi Ni Njitap!

Sikuteseka kutafuta pesa kwa Miaka Mingi ili kuja kuiokoa Dunia Nzima. Hata Familia Yangu yenyewe tu Kuna Muda huwa inalalamika kuhusu Mimi lakini Mi Sijali, Ni Mungu Pekee atakayenihukumu na Sio Binadamu unayempa kitu, uliyempa kitu au ambaye hukumpa kitu.

Siku zote nimekuwa nikimwambia Eto'o Kwamba Kuna siku Watakucheka kwa Dhihaka, Na Biblia ilishatabiri Hayo yote, Mimi Jeremy Njitap nimebaki vile vile, Pesa Yangu Ni Yangu, Na Kama nisingecheza Mpira Nani angekuwa Tayari kunisaidia? Sinunui Huruma Mimi.

Huwezi kunisikia Nachangisha Michango kwa Mtu yeyote, Halafu Wengi Wanaamini pengine Mimi siishi Kabisa Cameroon Sababu Muda Karibu Wote napendelea kukaa Nyumbani na Geti langu Muda Wote likiwa limefungwa, Hata huyo Mlinzi wangu mwenyewe Hana sahani ya Chakula Nyumbani kwangu Maana Mshahara wake Unamtosha kula kwake". - Jeremy Njitap!

#Note: Njitap Ni Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Chelsea na Real Madrid.

View attachment 2943704

Muacheni ni maoni yake. Sasa inategemea ni nini kilichompata katika maisha yake ya zamani.
 
Back
Top Bottom