Njia rahisi ya kusahau shida zako.

Ukitaka kusahau matatizo yako(japo kwa muda mfupi), vaa viatu vinavyokubana

Hii safi mana utayasahau yale matatizo yako na kila sekunde utawaza ulivyobaanwa na kuwahi ufike ili uvivue. at least utakuwa umepunguza mawazo
 
Dah! umenikumbusha mbali kweli..vinaudhi hivyoo halafu kamwe huwezi fikiri kingine akili yote miguuni..lol!!
 
acha usenge wewe.

Mijitu mingine imezaliwa na bahati tu hasa kisa nini mpaka uamue kushusha tusi kubwa kiasi hicho dhidi ya mtoa burudani wetu?

Unashangaza sana, kwanini usipigwe bani ya miezi mitatu kwa kutoa lugha ya matusi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom