Njia moja Arusha na KLM express

Nilipelekwa big L nimekosa ugali mshkaji kanipeleka Kenny Garden!dah!hii bar noma kuna mpaka maandazi halafu masufuria jikoni mengi sana!weather bab kubwa!...sifikirii kulala mwenyewe naogopa baridi!naambiwa kuna sungura tope pinpoint!nasubiri kupelekwa

Dah enjoy;mie niko Shivers bana
 
Vipi preta hapafai nini?..mimi napenda sehemu kama corner bar sinza,kwa macheni au masai kinondoni!naambiwa pinpoint au babylon hapo ni pumzi zangu tu!bar za nje hili baridi litaniumiza!kesho ntaomba nipelekwe mitako bar!

Hahahahaaa; ****** bar pale ni full pilika, ila pamechangamka uzuri sana pale"
 
Dah bandugu Arusha kumefula mtu ni balaa; sehemu za kulala wageni ni kumejaa, mtaan ni pilika tu wageni kutoka nje ya nchi ni wengi duh geneva of Africa"
 
Vipi preta hapafai nini?..mimi napenda sehemu kama corner bar sinza,kwa macheni au masai kinondoni!naambiwa pinpoint au babylon hapo ni pumzi zangu tu!bar za nje hili baridi litaniumiza!kesho ntaomba nipelekwe mitako bar!

Taratibu Mkuu, Arusha inarusha bosi!
 
Back
Top Bottom