Nje ya Box: Hivi Tanzania kungekuwa na mgombea binafsi nini kingetokea?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Ni muda mrefu sana zimesikaka sauti za watu wakipaza kuwepo na mgombea binafsi, mgombea ambaye hana chama chochote cha siasa.

Je, katiba ingeruhusu jambo hili nini kingetokea? Au ni faidi zipi Taifa lingepata? Hebu waza nje ya box kisha tiririka.
 
Back
Top Bottom