Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,231 Jun 7, 2012 #2 mkuu sometimes wanyama wanakuwa na idea,we jiulize amejuaje kwamba kuna mfuniko
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,637 4,521 Jun 7, 2012 #3 Mkuu inaonesha umeisahau ile mipaka mifunua vyungu jikoni,usifanye mchezo na Paka mwenye njaa..