Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,008
- Thread starter
- #21
Swali langu ni tufanye nini? Haitoshi kuhuzunika au kusikitika. Haitoshi hata kulalamika. Hao watoto sijui hatakama wanajua "alshaabab" ni nini au hata kitu kinachoitwa "Somalia" ni kitu gani. Najua kitu kimoja wana uhakika nacho; wana njaa!