Njaa ipo,Watanzania wanakula pumba

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Hatimae watanzania wameanza kula pumba baada ya kukumbana na kadhia ya njaa,hali hiyo imeanza kujitokeza huko MANYONI MASHARIKI,,,,,,,,,,,,
TUNAWAPA CHAKULA WASOMALI,,,,,SIE TUMEJITOSHELEZA????
 
Nimeisikia hii kwenye magazeti ya leo asubuhi, inatisha, na hizi sherehe sherehe za jumba kuu ina maana hawajui kuwa watu wengine wanakula pumba.
 
Jaman tanzania kuna njaa,mambo ya kusema upungufu wa chakula ni kauli za KISISASA,kama watu wanakula PUMBA,,,,,,njaa ipo
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
mbunge wa kaz gan kwan yeye ndo chakula au ndiye anayeleta mvua?
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
Back
Top Bottom