Niwekeni sawa wanasheria ktk kesi ya chenge!

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Japo kesi ya mzee wa vijisent(chenge) imepita lakini bado nashindwa kuubalance mzani wa sheria na haki, hivi kwa kosa kama lile la mzee chenge la kuua anaenda kupewa adhabu ya kulipa 700,000/=, mbona napata picha kama hizi sheria zetu zina matabaka kati ya watawala na watawaliwa japo kila siku 2nasikia et watu wote ni sawa mbele ya sheria. labda kidogo ingeniingia akilini kidogo kati ya zile adhabu mbili alizopewa yaani ya kwenda jela na kulipa hiyo 700,000/= basi kama si kupewa zote abebeshwe adhabu ya kwenda jela! Mbaya zaidi anaamua kutoka huku akijigamba ni president wa bara!
 
Kiujumla nchi yetu imetawaliwa na tabaka tawala(viongozi)dhidi ya watawaliwa(wananchi)kiongozi au 'kigogo' akivunja sheria anajibu ovyo-ovyo hawajibiki huku ni kukosa maadili ya uongozi mfano Chenge kuwakejeli waandishi huku akiwa na kashfa ya rada anajigamba tunaoumia ni wanyonge.sheria zetu dhaifu mbona nchi za wenzetu wanajiuzuru pindi wapatikanapo na kashfa,angalia Kenya
 
Back
Top Bottom