weka picha yako ili tuchangie vizuri
NIMEKUDHARAU sana ! MBONA VIJANA NJAA IMEIZIDI DAMU KWENYE MIILI YENU ?
unapatikana wapi nije kuichukuwa kwani unafikiri wewe ndiye uhai wa chadema?
fanya fasta, unatupotezea muda wa kulikomboa taifa, wewe ni muumini wa mtu, na si sera, nenda uendako kidusta weee