Nitajiunga CCM Makonda akiwaita wanajeshi kama anavyowaita Mawaziri

Kaa Kwa Kutulia Usemacho Kinawezekana Sana Tena Hadharani Ukashangaa
Tanzania Imejaa Woga Wasomi Ni Kama Wana Vyeti Ila Hawajitambui
Makonda Anaweza Kufanya Chochote, Lolote Sasa Hivi
 
Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Kufanya usafi
 
Mgao wa umeme mwaka sasa, ulanguzi wa sukari, huku jeshi ,vyama vya siasa,wananchi tupo kimya.
 
Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Mbona waliambiwa wakasafishe jiji wakati ni kazi ya Halmashauri! Usishangae akawaita kwa maana nchi hii inaendeshwa kuburuzwa.
 
Mbona waliambiwa wakasafishe jiji wakati ni kazi ya Halmashauri! Usishangae akawaita kwa maana nchi hii inaendeshwa kuburuzwa.
Never and can't happen, kila kitu kina mipaka yake, (limitation) kinachofanyika ni labda jeshi (kuombwa) kusaidia jambo fulani!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Never and can't happen, kila kitu kina mipaka yake, (limitation) kinachofanyika ni labda jeshi (kuombwa) kusaidia jambo fulani!
Ati "kila kitu kina mipaka yake" wakati Mahakama zinaingiliwa Bunge linaingiliwa acheni POROJO BANAA!!! Mipaka gani unayoiongelea?! Kwi Kwi Kwi...
 
Awa summon wanajeshi kwa lipi? Kwani wao wanahusikaje kwa wananchi? Hata kama mnamchukia Makonda, tumieni akili kuonesha chuki zenu!
Mfano: ndugu mwenezi kuna mwanajeshi amekuwa akitunyanyasa blablabla
Mwenezi:Huyo mwanajeshi yuko hapa
 
Majeshi yana wajibu mkubwa sana kwenye Taifa lolote duniani, sio tu kupigana
Mnahitaji elimu kubwa kuhusu hilo
Wajeda wana uwezo mwingi sana kuanzia vita mpaka uokoaji kama madhara yatatokea sehemu yoyote
Sasa awaite ili iweje
Wanaweza kuja kwenye maafa na mafuriko kama wataona kazi ni nzito kwa waokoaji wengine, hivyo watasaidia kuokoa

Mkuu wa M alilikosea sana jeshi hakuna wa kurudia ujinga tena
 
Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Huu ni upumbavu, unapoongea ukweli ni bora kuliko kutetea uovu ,mipaka ya Tanzania ipo very porous, ndio maana human trafficking imeshamiri mno,drugs cartels na money laundering inatisha, usiogope kusema kisa ni jeshi,jeshi hawako malaika, wanajeshi wamejiingiza kwenye scandals za kuwapotezea respect, wamepiga raia pale kawe, mmoja aliamua kumpiga bus driver (,aliyekua aneshikilia roho za watu including watoto )
 
Back
Top Bottom