The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
2003 Nissan Wingroad Station Wagon 1.5L (1497cc) Rangi: Silver. Transmission: AutomaticGari ni nzima kama mpya na kila kifaa chake kinafanya kazi inavyopaswa. Ipo Zanzibar kwa sasa na bei ni nzuri kwa atakayeihitaji (Sh. Milioni 6.8). Ni nzuri sana kwa matumizi ya familia. Tafadhali mtafute muuzaji kwa namba 0713-269517 kwa maelezo zaidi.