Nisha aiomba basata kumchukulia hatua aunty ezekieli

AKILImuchknow

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
213
14
Wakati wadau wa filamu na kazi za wasanii wakimtolea macho Aunty Ezekiel baada ya picha zake za nusu uchi kusambaa huku zikidaiwa kuvunja maadili ya kitanzania msanii mwenzake Salma Jabu'NISHA' amezitolea uvivu picha hzo na kudai kuwa endapo angekuwa na madaraka ya juu BASATA basi angemchukulia hatua za kumfungia haraka msanii huyo kwa muda[Imenukuliwa kutoka chanzo ki1 cha habari].Tupia maoni yk.
 

Attachments

  • Nisha.jpg
    Nisha.jpg
    37.6 KB · Views: 534
  • AuntEzekiel2.jpg
    AuntEzekiel2.jpg
    22.6 KB · Views: 498
Hizi ni baadhi 2 ya mbwembwe za Aunty Ezekiel
 

Attachments

  • AuntyEzekiel1.jpg
    AuntyEzekiel1.jpg
    21.1 KB · Views: 660
  • AuntEzekiel3.jpg
    AuntEzekiel3.jpg
    21.8 KB · Views: 320
Aiseeeee babaangu swala la kumfungia aiwezekani coz hao hao viongozi wa basata wanawapitia kimapenzi
 
King Kong III Ney wa Mitego aliwaimba hawa bongo movie kwa ukahaba wanaofanya na kusema ana uthibitisho....sasa sijui yuko kwenye utafit???!!!
 
Back
Top Bottom