Nisawa kumuuliza mwenza wako anapenda mtu wa aina gani katika mahusiano

Hahaaa. Maswali mengine hayafai kabisa na ni ya kudhoofisha na saa nyingine yanaweza haya kuua kabisa mahusiano aiseee.

Je akikutajia sifa ambazo ni nje ya zile ulizonazo utajisikiaje? Wacha hizo. Umeshapendwa tulia.
Ukishatajiwa ndo unajiongeza sasa unaendana Nazo. Maana unaweza ukawa hivi kumbe mwenzio anapenda vile hivyo anaumia rohoni.
 
Ukishatajiwa ndo unajiongeza sasa unaendana Nazo. Maana unaweza ukawa hivi kumbe mwenzio anapenda vile hivyo anaumia rohoni.
Hahaa. Nyingine ni za kimaumbile kama hizo zinabadilishwaje sasa. Au ndio kuanza kuzuzuka kisa mtu mmoja.

Mie siyaafiki hayo maswali. Sababu najua mkishatongozana na kukubaliana huwa naamini kila mmoja anakuwa kavutiwa na mwenzie sasa hayo maswali chonganishi hapana aiseee.
 
Kwamfano anapenda urefu na ww ni kifupi nyundo utafanyaje/unajiongezaje na ndio mpo tayari kwenye mahusiano!???au ulikuwa unamaanisha tabia za kimatendo??
Hahaaa. Huyo alimaanisha maswali kama hayo. Hebu fikiria hapo shoga kitakachofuata. Si ni kujiondoa taratibu.

Sababu atapita kijana mrefu mdada wa watu atakodoa jicho yeye tayari kanuna.
 
Uliza swali hili na mengineyo yenye mlengo huo kama mlijikuta kwenye mahusiano kibahati mbaya tu!
 
Back
Top Bottom