Nisameheni

Bibie Cheusi sometimes I wonder as to the basic difference in thinking kati ya wanaume na wanawake.
Tumeona mara kadhaa mwnamke anatembea nusu uchi au amevaa nguo zinazombana sana kiasi cha kuonyesha kila kitu hadharani.
Wanawake wa aina hiyo wala hawako concerned watu wengine wanafikiri vipi au kupata hisia gani.
Hata makanisani, umekuwa mtindo siku hizi kucheza jives ambazo zinatikisa mwili wa mwanamke, mitikisiko inayoweza kuwa suggestive na kuondoa amani ya kiroho.
Avtar yako, Cheusi, ilikuwa inafall katika category hii ya kutofikiria upande wa pili unahisi vipi.
Niliiona hiyo avtar na, I am sorry to say, it put me off.
Hii ya kidole can be just a bit better , but you never know what turns on some people(men).

ndio maana nikaomba radhi na kutubu.
halafu wkt mwingine nilihisi watu hawanichukulii serious hata nilipojaribu kuwa seriouz sbb nadhani baadhi walidhani nimekuja hapa kuwatega,na baadhi wanadai eti wanawake wenye makalio makubwa hawana akili kichwani eti!
sasa wote tuwe na amani ya kiroho bila kuingizana majaribuni!
 
Sometimes outlook is used to reflect inwards
so hongera kwa kupunguza kiwango cha majaribu lwa walioathirika na avantar uliyoiondoa hopely kwa msaada wa Roho Mtakatifu. Hii ni baada ya mahubiri ya muda mrefu japo ulikaidi ushauri wake wa awali. mungu akuwwezeshe kuweka avantar yenye ushuhuda wa kujenga na si kukwaza tena wana JF.
Barikiwa kwa wokovu uliopokea hata ukafanya mabadiliko
 
ilmeandikwa "makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake yeye yule yajae kwa ajili yake, imemfaa zaidi mtu yule jwe la kusagia lifungwe singoni mwake na atupwe baharini kuliko kumkosesha mmojawapo wa wagogo hawa"

dada ubarikiwe sana kwa kukataa kuwa "yeye yule yajae kwa ajili yake" Ubarikiwe sana....

lakini wakatai mwingine ni utani tu.... hizo PM nafikiri kwa maisha ya mwanmke ni kawaida tu kwani hata kwa mdomo ni wengi hutaka kumtongoza mwanamke hasa mrembo..........ni mwendawazimu tu awezaye kuwa serious na avatar........... na kama kweli huyo yumo humu JF basi hata huo mkono aweza kukusumbua sana...........

lakini nimeipenda dhamiri yako kwa sababu haitaki kumkwaza mtu kwa ajili ya utukufu wa Mungu ................... hakika watu watamtukuza Mungu kupitia uamuzi wako huu............. hakika ni uamuzi wa imani............ hakika ni tendo la imani.............hakika utabarikiwa na Bwana kwa dhamiri yako hii......... nitamshukuru Mungu siku zote kwa uamuzi wako huu.........

isiwe kuwa ni hapa JF tu, hata katika maisha yao halisi, kama unavaa mavazi yanayokwaza watu, kama una maongezi yanayokwaza, kutembea kwako, maringo, mwnendo wakokwa ujumla nk. chagua kuacha ili usiwe kwazo la aina yoyote kwa ndugu zako hasa kaka zako..............ubarikiwe.........
 
Umeshasamehewa. Hata Yesu alimsamehe Petro mara tatu.
Kweli? Mara tatu Yesu kamsamehe Peter? Au Mara tatu kakanwa na Peter? Au Peter kakiri kumpenda Yesu mara tatu? Mzee revise elimu yako ya Biblia. Labda kama umechanganywa na ile saba mara sabini!
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.

now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.
Usijali sana mamdogo haya ni mambo ya kawaida kwani huwezi kumridhisha kila mtu. Utasikia hata hii uloiweka wanasema inawakwaza. Bt usijali. Binafsi nilichukulia kama avatar nyingine kwani sikwenda zaidi ya kuitazama na kusoma ujumbe wako. Hata hivyo ni jambo jema kwani kama ulivyosema wengi walikutumia PMs ambazo nadhani si nzuri sana na umeamua kubadili. Waweza kufanya lolote jema kwako ilmradi haliendi kinyume cha Mungu atakavyo. Nawaheshimu kina mama wote kama dada zangu na mama zangu. Ubarikiwe!
 
Pole mpendwa yani nilifikiri ni mie tu ninapata PMS nyingi kwa jairi ya lile jukwaa nilipendalo mhh, usijali yote maisha ila ungerudisha tu ile avatar na kuzi ignore pms zote!
Be blessed!
 
Pole mpendwa yani nilifikiri ni mie tu ninapata PMS nyingi kwa jairi ya lile jukwaa nilipendalo mhh, usijali yote maisha ila ungerudisha tu ile avatar na kuzi ignore pms zote!
Be blessed!
anha kumbe nyie watu mnaignore pm zetu kwaajili ya kuhofia watu wamependa avatar?mnakosa dili bure kabisa.
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.
hehehe cheusimangala eti nimekoma,pole,ni vizuri kupata amani ya moyo.
 
Cheusi hiyo pete imekaa kigharama sana sikufahamu ila nina wasiwasi kuwa huo mkono sio wako kama ilivyokuwa kwenye ile picha za awali!
 
kwa kweli nimefikiria kosa lako hadi hivi sasa sijaliona; wengine tulikuwa tunafurahia uumbaji wa Mungu kwani mahali fulani imesemwa "umeniumba kwa namna ya ajabu na kushangaza"..
 
Pole mpendwa yani nilifikiri ni mie tu ninapata PMS nyingi kwa jairi ya lile jukwaa nilipendalo mhh, usijali yote maisha ila ungerudisha tu ile avatar na kuzi ignore pms zote!
Be blessed!
Maria umelonga!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom