Nisaidieni ugonjwa huu utaniua.

Benard kombe

Senior Member
Jul 15, 2012
138
41
Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.
 
Jipakae mafuta ya kitunguu Saumu mahala panapouma,maumivu yataondoka upesi halafu Umeze kwa maji kipande kimoja cha kitunguu Saumu kitaondoa kabisa chanzo cha maumivu hayo iwapo ni tumboni tumia kisha unipe feedback mkuu.@Benard kombe pole sana.
 
Uhauri uliopewa hapo juu ufanyie kazi kisha tujurishe matokeo yake ili tu-save parmanently hii solution
 
Ndugu polesana kwa tatizo hilo, kwa ufahamu wangu wa mambo ya rohoni nakushauri ufike kanisani upate maombezi utapona. Mimi nilikua na tatizo hilo kwamuda mrefu sana hadi nimefika kidato cha pili, niliwahi kukosa mitihani kwa sababu ya kipandauso, nilitumia dawa mbalimbali ila nilipona nilipofanyiwa maombi. kwa mawasiliano zaidi ikiwa utapenda piga0754 991 279
 
Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.

Nenda hospitali ukaonane na wataalamu wa ENT na kufanya vipimo kama CT-Scan, tatizo litajulikana ni nini.

Migraine inasababishwa na magonjwa mengi mojawapo ni chronic maxillary or frontal sinusitis, Ergotamine unapata unafuu wa muda tuu.

Pole sana.
 
Ushauri mzuri sana sana, hata kama utatumia dawa na wote walokushauri lakini huu ni ushauri mzuri sana, ukishajua tatizo then unaweza kutumia hizo dawa na ukapata tiba ya moja kwa moja. ila pia pendelea kunywa maji mengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom