Nisadieni,Picha hizi zinazosema aina ya Kiongozi anayehitajika Nchii hii kwa sasa

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
10426171_289961904539378_3950919716198159061_n.jpg

Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.
10370351_708920049161822_672977126855962506_n.jpg

Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.
1966847_708922799161547_3745377763552786263_n.jpg

Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.
10421154_297784523757116_3841041684266685019_n.jpg
1525244_297187963816772_1840951361995500260_n.jpg
10606408_297784037090498_2469290746865829578_n.jpg
10635815_297187920483443_6799336518551112566_n.jpg
Mapenzi kwa Watoto.
10670115_297188040483431_7030630794709207357_n.jpg
Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu.
10420041_276267639242138_1706817427871385090_n.jpg
"
NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"
10411278_253138758221693_8438807295919895765_n.jpg

MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.
10245541_241262216076014_3897404221853706429_n.jpg

Mwananchi wa kijiji cha Mingela akiteta jambo na Mbunge wake
10675672_289961981206037_2754016343162786925_n.jpg

Mwananchi akitoa zawadi yake kwa Mbunge kwa namna alivyowawezesha kupata Umeme kijijini kwao Mbelekesye.
10625036_289274347941467_6718591603959502539_n.jpg
10418242_289274254608143_3977524107269552209_n.jpg

Wananchi wakitoa zawadi kwa Mbunge wao "Deepest Love"
10609611_297188010483434_2191592509452519121_n.jpg

Wananchi wakionesha hisia zao kwa Mh:Mwigulu Nchemba.
15686_292852067583695_5529511665339316305_n.jpg
10411045_292852114250357_2896655369547990858_n.jpg

Kazi ya Kusambaza maji Vijiji Vyote vya Iramba visivyo na Maji imeanza.
10635799_289962491205986_8076544293195350125_n.jpg

Ujenzi wa Nyumba za Walimu,Madarasa,Nyumba za Watumishi wa Vituo vya Afya kwa kata zote za Iramba umefikia hatua ya Kuezeka bati.Mwigulu amechangia kata zote zaidi ya bati 300 kwa kila kata.
1425548_239901399545429_4018370967162059847_n.jpg

Kazi ya Kusambaza Umeme Vijiji Vyote jimbo la Iramba ilianza rasmi mapema Mwaka huu,Hivi sasa baadhi ya Vijiji vimeshaanza kutumia umeme upande wa kata ya Mbelekesye.



 
Back
Top Bottom