Nisaaidieni katika hili,naishiwa nguvu sana kwa hili...

♡♡♥♥ Experience ya mapenzi ni ndogo mno...

... ukisha kuwa kungwi wa mapenzi of which it depends kama unataka kuwa.... utaacha....

....eg..mm hata mwanamke avae kuficha mwili wooote...sikosei.... NAMWONA 100%... my eyez can go deep to a woman na namwona whole her body shape... in SECONDS....NA NIKIMTAKA NAMFUATA .... it won*t take long namla...95% succeeded...!!!

...na hakuna kitu mwanamke anachukia kama MWANAUME KUWA NA HAYA...AU KUOGOPA...AU KUMWONEA AIBU....
 
Habar JF.Naombeni kujua kwanini naishiwa nguvu nionanapo na watu ninaowapenda,nashindwa hata kusalimia kwanini jamani.
Mkuu hiyo ni kawaida sana ilikuaga inanitokeaga sana zamani ila siku izi nikiwaona tu lazima nitabasamu nakumsalimia bhass freshy..sema kuna mmoja huyu kwa kweli nimeshindwa..nikimwangalia machoni bhass kuna kitu kinachoma mpaka tumboni..yani daaahhh...hatari tupu yan..!!!
 
Je, kabla ya kukushauri nijibu maswali haya ,Una miaka mingapi?, Ulishawahi kuwa na mwanamke ? Tuanzie hapo kwanza kisha nikushauri?
 
Then you're one of your own kind buddy...wakati sisi wengine tukikutana na tuwapendao haswa wale jinsia ya kike ni kiungo kimoja tu huwa kinaruhusiwa kuvaibreti lakini wewe ni mwili mzima...teh teh!!!

Hahah.. Comment of the Day kwa upande wangu ni hii.
 
Je, kabla ya kukush .Nina miaka 24,sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

nakushauri anza na mazoezi kwa wale unaoona wakawaida watokee hao,ukishazoea ingia kwa hao maji marefu.
AU
Anza na kujenga urafiki wa kawaida unaweza ukaanza kama hivi mfano;
WEWE: samahani dada naweza kuongea na wewe?
DADA; nina haraka
WEWE; naomba dakika mbili tu.
DADA; Poa
WEWE; samahan mi naitwa john sijui wewe unaitwa nani.
DADA; Naitwa jen
WEWE; unaishi wapi?
DADA; Gongo la mboto
WEWE; Unaonaje nije nikutembelee huko
DADA; Karibu
WEWE; ningependa unipe namba yako ili iwe rahisi kukutafta
DADA; Poa
akikupa tu baada siku moja msalimie na mtakie siku njema mara kwa mara na usiwe na haraka nae kumtokea atakukimbia mapema mwache akuzoee na wewe umzoe huku mkitembeleana na kupiga stori za kawaida sio mapenzi akikuzoea tu na usimpe muda mrefu sana na usiwe mrefu sana akuzoee kisha akikolea tu mwaga sela hapo lazima akubali tu. KAMA UNAITAJI MAUJUZI ZAIDI ni PM.
 
Duh! Majanga!!! Kwani umewahi hata mara moja kuwa na mpenzi aliyekushibisha penzi mpaka ukavimbewa? Maana inaonekana una ule ugonjwa uitwao CHEKELEA,sema tu kwamba wa kwako umekuja kwa style mpya.vp unapiga pool au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom