Nipo Arusha msibani kwa Nisher, hii nyumba ya matamko inatisha.

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
883
3,066
Baada ya kufariki mdogo wetu Nisher familia na ukoo tumefika Arusha msibani lakini kama ndugu tunashangazwa sana na mambo yanayoendelea kwenye hii nyumba ya matamko, hapa ninapoandika mzee mfiwa amelewa chakari na usiku kulitokea mambo ya kuogofya sana.

Usiwe mbali na uzi huu naleta picha za yanayoendelea hapa msibani.
 
20231213_220054.jpg

Mmmh matukio ya kutisha tena.
 
Baada ya kufariki mdogo wetu Nisher familia na ukoo tumefika Arusha msibani lakini kama ndugu tunashangazwa sana na mambo yanayoendelea kwenye hii nyumba ya matamko, hapa ninapoandika mzee mfiwa amelewa chakari na usiku kulitokea mambo ya kuogofya sana.

Usiwe mbali na uzi huu naleta picha za yanayoendelea hapa msibani.
Usije ukawa ni agent uliyetumwa kuleta uchafuzi!? Manake siku hizi makanisa ni biashara. Pengine unataka kuchafua image za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom