Nipe kikosi chako bora kwa miaka 16 iliyopita

kweli mkuu, ni timu gani ishawahi kuwa na 'world player of the year= george weya, european player of the year= roberto baggiona top scorer wa ligue 1= jean pierre papin. vigogo wote hawa wakipiginia position no 9, ya milan. Wacha bwana siku hizo milan hawashikiki!!!!!!!!!

George Weah
 
Kweli mkuu, ni Timu gani ishawahi kuwa na 'World Player of the Year= George Weya, European Player of the Year= Roberto Baggio na Top scorer wa Ligue 1= Jean Pierre Papin. Vigogo wote hawa wakipiginia Position no 9, ya Milan. Wacha bwana siku hizo Milan hawashikiki!!!!!!!!!

Hye hye hye kweli Milan sumu
 
1.Buffon
2.Lilian Thuram
3.Roberto Carlos
4.Tony Adams
5.Canavaro
6.Pat Vieira
7.Ronaldinho
8.Petit
9.Weah
10.Batistuta
Overmars
 
Kwa anayeijua soka vilivyo na aliyeona soka kwa uhakika ni ngumu sana kutaja wachezaji 11 tu katika hiyo miaka 16, ambayo kwa mahesabu ya haraka inaanzia mwaka 1995 unless atumie mapenzi binafsi na si uwezo halisi wa wachezaji. Ninaamini ili uweze kupata hao wachezaji kuna ligi kadhaa ambazo ndio zina competition kubwa zaidi na zenye mvuto zaidi duniani zikiongozwa na kombe la dunia, kome la ulaya (EURO) na kombe la ulaya la vilabu (UCL)

Ili uweze kupata hiyo list ni lazima kwanza uweke vigezo kadhaa na pia uweke upenzi wa timu pembeni. Ukiangalia uwezo binafsi wa mchezaji, msaada wake katika club yake, umuhimu wake katika timu ya taifa na pia mafanikio aliyoweza kuyapata kama mchezaji na kama timu hapo tayari utakuwa umeweza kuweka vigezo kadhaa vya kuweza kupata hao wachezaji husika.

Nikikumbuka mwaka 1995, ndio mwaka ambao Ajax ilikuwa bingwa baada ya kumfunga AC Milan goli 1 la Patrick Kluivert, kumbuka kuwa AC Milan ilikuwa bingwa 1994. Wakati huo huo Brazil ya kina Romario, Bebeto na kapteni Dunga ilikuwa bingwa wa dunia 1994. Bingwa wa Ulaya kipindi hicho ilikuwa Denmark ya kina Laudrup ambayo kwa hakika wapenzi wengi wa soka tunaamini ilichukua ubingwa huo wa mwaka 1992 kwa bahati ya mtende.

Katika kipindi cha miaka ya 94, 95, 96 ambako ndio hasa mtoa mada anapenda tuanze kuchambua hao wakali ni kipindi ambacho, AC Milan ya kina Geogre Weah, Ajax ya kina Edgar Davids, Mark Overmars, Nwanko Kanu na Van Der Sar zilikuwa zipo katika kiwango cha juu mno na huku Barcelona iliyokuwa na wakali sana kama Romario, Histro Stoichkov na Pep ndio ilikuwa inaanza kushuka baada ya ile wao wanayoiita the dream team ya mwaka 1992. Pia Juventus ya kina del Piero na Fabrizio Ravanelli ilikuwa kati ya timu zenye kiwango cha kuogopwa sana ulaya

Nimejaribu kuzungumzia haya machache katika kutaka kuweka misingi ya wapi tunaanzia kwenye kuwachambua hao wachezaji bora 11, maana kila mmoja anajua wapi tunaishia ambako ni mwaka huu !

Binafsi nitataja wachezaji 20 ambao kwangu naona kuwa wamekuwa au walikuwa ni wakali zaidi, na hivyo sitapanga kikosi cha hao wachezaji 11.
Zinedine Zidane. Huyu ni midfield maestro. Mchezaji bora zaidi kutokea katika hicho kipindi mtoa mada anachokisema.
Edgar Davids. Huyu ni holding midfielder mkali zaidi niliyewahi kumuona akicheza. Ninaamini Davids ndio kiungo bora zaidi wa kukaba katika hiki kipindi. Combination ya Davids na Zizzou katika midfielder waliifanya Juventus kuwa timu kali sana mwishoni mwa miaka ya 90.
Ronaldinho Gaucho
Alessandro Del Piero
Louis Figo
Ronaldo De Lima
Romario
Edwin Van Der Sar
Paolo Maldini
Alessandro Nesta
Marcos Evangelista De Moraes wengi mnamjua kwa jina moja la Cafu
Roberto Carlos
Lionel Messi
Rivaldo Vitor Borba Ferreira
Oliver Khan
Christiano Ronaldo
Gabriel Batistuta
Erick Cantona
Mark Overmars
na wa 20 ni Histro Stoichkov.

Histro Stoichkov huyu kwangu ndiye mchezaji mkali zaidi niliyewahi kumuona wa dead balls. Japokuwa Juninho Pernambucano naye alikuwa ni hatari sana wa dead balls, ila hayupo katika list yangu ya wachezaji 20.
 
Ni dhambi kumuweka overmars na kuliacha simba Dume Seedorf.
Hata kama hiyo ni orodha yako.
 
Mkuu, sio huyo tu wapo wengi waliokuwa wakali sana na ndio maana nikatangulia kusema ni kazi sana kuchuja hao wakali. Kuna Bergkamp, George Weah, Xavi Hernandez, Raul Gonzalez, Jurgen Klinsman, Oliver Bierhoff, Ariel Ortega, Michael Owen, Pavel Nedved, Gaizka Mendieta, Adril Shechenko, George Hagi, Caminero, Abeid Ayew Pele, Mohamed Aboutrika, Mohamed Barakat, Samuel Etoo Fils, Didier Drogba na wengine wengi sana. At least ukiambiwa wachezaji 50 ndio unaweza ukawatendea haki karibu wote
 
Kwa anayeijua soka vilivyo na aliyeona soka kwa uhakika ni ngumu sana kutaja wachezaji 11 tu katika hiyo miaka 16, ambayo kwa mahesabu ya haraka inaanzia mwaka 1995 unless atumie mapenzi binafsi na si uwezo halisi wa wachezaji. Ninaamini ili uweze kupata hao wachezaji kuna ligi kadhaa ambazo ndio zina competition kubwa zaidi na zenye mvuto zaidi duniani zikiongozwa na kombe la dunia, kome la ulaya (EURO) na kombe la ulaya la vilabu (UCL)

Ili uweze kupata hiyo list ni lazima kwanza uweke vigezo kadhaa na pia uweke upenzi wa timu pembeni. Ukiangalia uwezo binafsi wa mchezaji, msaada wake katika club yake, umuhimu wake katika timu ya taifa na pia mafanikio aliyoweza kuyapata kama mchezaji na kama timu hapo tayari utakuwa umeweza kuweka vigezo kadhaa vya kuweza kupata hao wachezaji husika.

Nikikumbuka mwaka 1995, ndio mwaka ambao Ajax ilikuwa bingwa baada ya kumfunga AC Milan goli 1 la Patrick Kluivert, kumbuka kuwa AC Milan ilikuwa bingwa 1994. Wakati huo huo Brazil ya kina Romario, Bebeto na kapteni Dunga ilikuwa bingwa wa dunia 1994. Bingwa wa Ulaya kipindi hicho ilikuwa Denmark ya kina Laudrup ambayo kwa hakika wapenzi wengi wa soka tunaamini ilichukua ubingwa huo wa mwaka 1992 kwa bahati ya mtende.

Katika kipindi cha miaka ya 94, 95, 96 ambako ndio hasa mtoa mada anapenda tuanze kuchambua hao wakali ni kipindi ambacho, AC Milan ya kina Geogre Weah, Ajax ya kina Edgar Davids, Mark Overmars, Nwanko Kanu na Van Der Sar zilikuwa zipo katika kiwango cha juu mno na huku Barcelona iliyokuwa na wakali sana kama Romario, Histro Stoichkov na Pep ndio ilikuwa inaanza kushuka baada ya ile wao wanayoiita the dream team ya mwaka 1992. Pia Juventus ya kina del Piero na Fabrizio Ravanelli ilikuwa kati ya timu zenye kiwango cha kuogopwa sana ulaya

Nimejaribu kuzungumzia haya machache katika kutaka kuweka misingi ya wapi tunaanzia kwenye kuwachambua hao wachezaji bora 11, maana kila mmoja anajua wapi tunaishia ambako ni mwaka huu !

Binafsi nitataja wachezaji 20 ambao kwangu naona kuwa wamekuwa au walikuwa ni wakali zaidi, na hivyo sitapanga kikosi cha hao wachezaji 11.
Zinedine Zidane. Huyu ni midfield maestro. Mchezaji bora zaidi kutokea katika hicho kipindi mtoa mada anachokisema.
Edgar Davids. Huyu ni holding midfielder mkali zaidi niliyewahi kumuona akicheza. Ninaamini Davids ndio kiungo bora zaidi wa kukaba katika hiki kipindi. Combination ya Davids na Zizzou katika midfielder waliifanya Juventus kuwa timu kali sana mwishoni mwa miaka ya 90.
Ronaldinho Gaucho
Alessandro Del Piero
Louis Figo
Ronaldo De Lima
Romario
Edwin Van Der Sar
Paolo Maldini
Alessandro Nesta
Marcos Evangelista De Moraes wengi mnamjua kwa jina moja la Cafu
Roberto Carlos
Lionel Messi
Rivaldo Vitor Borba Ferreira
Oliver Khan
Christiano Ronaldo
Gabriel Batistuta
Erick Cantona
Mark Overmars
na wa 20 ni Histro Stoichkov.
Histro Stoichkov huyu kwangu ndiye mchezaji mkali zaidi niliyewahi kumuona wa dead balls. Japokuwa Juninho Pernambucano naye alikuwa ni
hatari sana wa dead balls, ila hayupo katika list yangu ya wachezaji 20.
Mkuu ni ngumu sana kutaja wachezaji 11 kwa miaka 16 iliyopita sababu wapo wengi waliotufanya watu tupende soka, na pia ni vigumu kutaja wachezaji 20, bila kuangukia mapenzi binafsi ya mchezaji japo mmoja tu.

Nilijitahidi sana kuacha kuwataja Josep Guardiola, Hristo Stoichkov na Romario na kumtaja Makanaki kwa vile hata mimi nilimkubali mno.

Pia nilimuacha Michael Laudrup licha ya kutamba Ulaya sababu nafasi haikutosha, ndo maana hata hao 20 kwako nafasi haikutosha pia ukamwacha Edgar Davids licha ya kumkubali!
 
Guardiola, stoichkov na Romalio walikuwepo kwenye kikosi cha Barca kilicholambwa goli 4-0 na AC Milan.

Dah Milan kweli sumu
 
Walikuwa wamechoka sana sababu siku nne nyuma yake walikuwa wametoka kubeba La Liga kwa mara ya nne mfululizo, wakasherehekea kupita kiasi na kusahau mechi ya mbele yao, so hang over ya mvinyo ikatu cost!!
 
Teh teh hata mngekuwa 15 uwanjani kisha Milan wangekuwa 9 uwanjani ilikuwa ni lazima mfungwe.
Hata msingegida huo mvinyo mngefungwa tu
 
Ndo maana baada ya ile mechi tukajifunza jinsi ya kushinda dhidi yenu. Any way Milan bado ni timu bora sina wasiwasi na hilo.
 
Mkuu ni ngumu sana kutaja wachezaji 11 kwa miaka 16 iliyopita sababu wapo wengi waliotufanya watu tupende soka, na pia ni vigumu kutaja wachezaji 20, bila kuangukia mapenzi binafsi ya mchezaji japo mmoja tu.

Nilijitahidi sana kuacha kuwataja Josep Guardiola, Hristo Stoichkov na Romario na kumtaja Makanaki kwa vile hata mimi nilimkubali mno.

Pia nilimuacha Michael Laudrup licha ya kutamba Ulaya sababu nafasi haikutosha, ndo maana hata hao 20 kwako nafasi haikutosha pia ukamwacha Edgar Davids licha ya kumkubali!

Mkuu, kumwacha Romario De Souza na kumweka Makanaki unakuwa haujaitendea haki football. But, anyway mapenzi sometimes ni upofu. Romario ni mmoja wa greatest regend kwenye historia ya mpira, ukiondoa tabia yake ya kuwa na hasira na kiburi nje ya uwanja, jamaa alikuwa ni mchezaji wa kiwango cha juu mno kupata kutokea. Wachambuzi wengi wa soka tunaamini kama Romario angekuwa kwenye kikosi cha Brazil 1998 (kumbuka aliachwa na kocha Zagallo siku za mwisho kabisa kabla ya kuelekea Ufaransa baada ya kuumia msuli wakati wa mazoezi), kulikuwa na uwezekano mkubwa sana wa kuwa mabingwa.

All in all, Romario ni mmoja wa mastriker hatari zaidi kuwahi kutokea katka ulimwengu wa soka.
 
walikuwa wamechoka sana sababu siku nne nyuma yake walikuwa wametoka kubeba la liga kwa mara ya nne mfululizo, wakasherehekea kupita kiasi na kusahau mechi ya mbele yao, so hang over ya mvinyo ikatu cost!!

viva barcelona "the catalans"
 
1. Thomas Nkono
2. Cafu
3. Roberto Carlos
4. Canavaro
5. Deschamp
6. Roy Keane
7. Bakham
8. Zidane
9. Roger Milla
10. Thieni Henry
11. Giggs
 
Wakuu mi bado nasuuzika roho yangu kwanza nikiyataja majina haya ya wana Lindanda - Pamba ya Mwanza, vijana walicheza kama Barca ya sasa - hebu jikumbulishe mwana sport mwenzangu

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,
5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. Kitwana seleman.

Reserves: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin, Goerge Gole

matokeo lukojoe,adam white,modest,ally midada,george ngasongwa,abdul china macho paka,pius kiberenge,ally mayayi tembele,baby luis mfede,raymond ndunguru okocha,roger moore edward kayoza
super sub kalimangonga ongala,adeba,habib kibaden nk
 
Dah sheikh hiyo ni Mnyama Mkubwa Abuja Abajalo Ngilimaa...
1. Matokeo
2. Sagga
3. Modest
4. George Ngasongwa
5. Baba Dimu...

Huo ulikuwa ukuta nguli wa Abajalo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom