Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,932
- 985
Kwasasa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara.
Katika nafasi hiyo hana ujasiri kama Mzee John Samweli Malecela. Amekuwa mtu wa kulalama.
Amekuwa Spika wa Bunge la JMT kati ya Chief Adam Sapi Mkwawa na Samwel Sitta. Sitta alimbwaga ktk kinyang'anyiro na kum-beat ktk performance.
Malezi ya mtu tangu utoto yanaweza mtengeneza atakavyokuwa mtumzima. Amelelewa "kando" ya jamii ya kihindi. Anatajwa kujua kihindi vizuri.
Katika madaraka ya juu anaposhindwa kutambua kiini cha matatizo na kuingia kuwachonganisha raia na JF just for the sake of CCM, kunazusha shaka kubwa juu ya uwezo wake wa kuchambua mambo.
Big tanks let us share about this old man from his youth to date. And what he has behind the curtains