Nini uhusiano wa chama cha Conservative cha Uingereza na Chadema

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
Kesho waingereza wanapiga kura kuchagua chama na Waziri wao Mkuu atakayewaongoza kwa miaka mitano ijayo, inavyoonekana chama cha Conservative kiko mbele ya chama tawala cha Labour kinachoongozwa na Gordon Brown. Niliwahi kuzisikia tetesi kuwa chama cha Conservative kinachoongozwa na David Cameron kina uhusiano wa karibu na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema je tetesi hizi ni za kweli?
 
Back
Top Bottom