Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg
 
Naona umeamua kujivua nguo... kazi kweli kweli9 Chadena na Iddi amini? pole sana mkuu!
 
Lukos, kwanza nikupongeze kwa kuandika na nikupe pole maana unalinganisha vitu ambavyo havilingishaniki uncorrelative. Kwanza sijui unamwongelea Idd Amin as an individual au kama taasisi. Kama la kwanza ni kweli ujue hapo hakuna cha kujadili na kama la pili (latter) ni kweli na hapo kuna makosa ya analysis maana huyo alikuwa ni head of state though self imposed lakini ukweli unabaki palepale kuwa presidency na political party ni vitu tofauti kama mbingu na dunia. Idd Amin katika hili alikuwa na state machinnery na kyfanya yale aliyoyafanya na CDM haijawahi kuwa na state machinery ili ilinganishwe na Idd Amin. Na kama unataka iinganishwe na yale yaliyofanywa na Idd Amin basi mwenye makosa ni yule aliyekipa CDM usajiri. Hivyo wakati mwingine unapoweka bandiko angalia unaweza kuwakwaza wangapi.

Na jingine la kukumbuka ni kwamba one man's meat in another man's poison. Kuna watu wanamwona Amin as a hero kama ambavyo kuna watu wanawaona CDM as heroes na kuwaona CCM as enemies and vice versa.
 
Lukosi mbona wi-mwafu de!!! Yaani unalinganisha utawala wa Idd Amin na Chadema kwa hayo mepesi hayo, wewe ni CCM njaa sana jaribu kuhoji mambo fulani ndani ya CCM yako uone. Kolimba alitoa mwanga tu kwamba kwa hili CCM inapoteza dira alikufa mbele ya wajumbe wa NEC mbele ya Ally Hassan Mwinyi wewe umezaliwa mwaka gani maana inaelekea "unaanza kujifunza kuwika" Usidhani uko katika mpango wa ukuu wa wilaya haumo ng'ooooooo!!!!!!
 
Lukos, kwanza nikupongeze kwa kuandika na nikupe pole maana unalinganisha vitu ambavyo havilingishaniki uncorrelative. Kwanza sijui unamwongelea Idd Amin as an individual au kama taasisi. Kama la kwanza ni kweli ujue hapo hakuna cha kujadili na kama la pili (latter) ni kweli na hapo kuna makosa ya analysis maana huyo alikuwa ni head of state though self imposed lakini ukweli unabaki palepale kuwa presidency na political party ni vitu tofauti kama mbingu na dunia. Idd Amin katika hili alikuwa na state machinnery na kyfanya yale aliyoyafanya na CDM haijawahi kuwa na state machinery ili ilinganishwe na Idd Amin. Na kama unataka iinganishwe na yale yaliyofanywa na Idd Amin basi mwenye makosa ni yule aliyekipa CDM usajiri. Hivyo wakati mwingine unapoweka bandiko angalia unaweza kuwakwaza wangapi.

Na jingine la kukumbuka ni kwamba one man's meat in another man's poison. Kuna watu wanamwona Amin as a hero kama ambavyo kuna watu wanawaona CDM as heroes na kuwaona CCM as enemies and vice versa.
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Think critically.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haya magonjwa saba yanakutesa sana braza. Hata kama njaa inaonekana ya kwako imehamia huko nyuma badala ya tumboni, kujipendekeza kwa namna hii ni hatari sana maana inaonekana uko desperate kuzusha uongo ili tu upate huruma ya LUMUMBA

1. OCD (Obsessive Compulsive Disorder)
2. DG (Delusions of Grandeur)
3. CLD (Compulsive Lying Disorder)
4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)
5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)
6. MPD (Multiple Personality Disorder)
7. LD (Literacy Disorders)
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa. Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti. Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire? CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa. Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa. Non-sense
 
Mfano mdogo tu amuulize huyo Nape anaemtuma, kilimpata nini alipohoji mkataba wa uuzaji na ujenzi wa jengo nyuma ya jengo la UVCCM?
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Tatizo lako Lukosi unajiona wewe ni bora kuliko wengine na kwamba umemzidi akili kila aliyehumu JF au alie CDM!! Think twice bro, upeo wako bado mdogo sana katika siasa za nchi hii!!
 
Mfano mdogo tu amuulize huyo Nape anaemtuma, kilimpata nini alipohoji mkataba wa uuzaji na ujenzi wa jengo nyuma ya jengo la UVCCM?
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?
 
Utateseka sana aisee, utakipaka CHADEMA matope badala yake utachafuka wewe mwenyewe
 
Kaugonjwa kwa Chris Lukos kanahitaji matibabu ya haraka sana .......................... Dr. Pauline jaribu kumsaidia huyu jamaa!!

By the way hivi ni lini CDM wametawala nchi hii!!!??? Au ndiyo kaugonjwa kanakutuma hivyo??
 
Wapi Dr. Paurine. Kuna ugonjwa mwingine umeongezeka huku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom