Nini mantiki ya Kikwete kutoa sanduku la Zanzibar kwa Harper badala ya alama ya Tanzania?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Linganisha zawadi ya jezi na sanduku ambalo laweza kutunza madini yetu huko Canada. Zawadi ni zawadi ingawa hili la kutoa sanduku la Zanzibar badala ya zawadi inayohusiana na muungano linatia shaka. Je hii yaweza kutafsiriwa kama kuitangaza Zanzibar au kuiuza? Je Tanzania inahitaji kujigonga kwa wazungu kuishi au kutumia akili za kawaida common sense? Je kutoa zawadi ya Zanzibar ni kuitendea haki Zanzibar na kuuhujumu muungano au kutaka kuwaziba mdomo wanzanzibari wanaotaka kujitenga kwa kuhujumu muungano au kutapatapa? Nini maoni yako?
8212757_orig.jpg
 
Yapo masanduku ya bati kwa ajili ya wanafunzi wa boarding!!sanduku la nakshi huku bara hatuna,labda tuige hayo ya zanzibar
 
Me nashangaa watu wanavyoipapatikia zanziba utafikiri ndo maziwa bahar mbuga migod au utashi yan me sioni gape lolote hata hiyo zanziba isingekuwepo dunian ni utaahira watanganyika kuililia a thing so called zanziba afu wanaita eti nchi zanzb ni kama mtaa wa unga ltd hapa chuga!
 
Hili ni sanduku la Zanzibar? How? Anyway,yote kwa yote kupewa zawadi ya jezi haf yeye JK anatoa Sanduku (linaloonekana kuwa na thamani zaidi ya jezi) kunapungua kitu kikubwa tu!
 
Me nashangaa watu wanavyoipapatikia zanziba utafikiri ndo maziwa bahar mbuga migod au utashi yan me sioni gape lolote hata hiyo zanziba isingekuwepo dunian ni utaahira watanganyika kuililia a thing so called zanziba afu wanaita eti nchi zanzb ni kama mtaa wa unga ltd hapa chuga!

ahahahahaaa!
hujui zanzibar kuna urojourojo? kwa raha zao wapendaö urojo wameweka kambi! Mkuu hivi kale kamuongozo ka cameroni hakapo canada?
 
nnaona hamjaangalia vizuri, kapewa zawadi ya jezi na kitabu fair trade canada. ila kwa kua hatupendi kusoma hatukuona hilo. na ss hata zawadi ya kitabu kinachozungumzia tanzania tukampa zawadi au tukawa tunawapa zawadi wajionee yetu hatukuona umuhimu
 
Alipofungua bunge mwaka 2005 alisema"ukitaka kula lazima uliwe" lakini mbona waTZ tunaliwa sana kwenye madini??
 
Ninavyoliona hilo sanduku kwakuwa mimi nafanya hiyo biashara ya vinyago thamani yake si chini ya tsh.laki nane mpaka milioni kwa wazungu kama hao wa north america kama canada....kwakweli ukilinganisha na hiyo jezi na kitabu ni mangunga style....ni maoni tu
 
Ninavyoliona hilo sanduku kwakuwa mimi nafanya hiyo biashara ya vinyago thamani yake si chini ya tsh.laki nane mpaka milioni kwa wazungu kama hao wa north america kama canada....kwakweli ukilinganisha na hiyo jezi na kitabu ni chief mangungo style....ni maoni tu
 
Back
Top Bottom