Nini maana ya 'pole'?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wakuu, naomba kuuliza maana halisi ya neno 'pole'

Unamkuta mgonjwa, unamuambia pole
Mu katoka kazini unamwambia pole
Katoka safarini unamwambia pole na safari

Ukitaka kumuelezea mtu maana ya hili neno utamuelezaje?
 
Hata wale wenzetu wakiwa wana-du utakuta anaambiwa 'pole dia' na mpendwa wake kisha kufuatiwa na rundo la makisses,patamu sana.
 
pole:
Pole adjective Amiable, Gentle, Calm, Kind, Mild, Slow, careful, Cautious,
Pole adverb Gently, Softly, Slowly,
Pole interjection sorry!, Excuse me!, I pity you!, Condolences, expression of compassion, expression of sympathy,
 
pole: Pole adjective Amiable, Gentle, Calm, Kind, Mild, Slow, careful, Cautious, Pole adverb Gently, Softly, Slowly, Pole interjection sorry!, Excuse me!, I pity you!, Condolences, expression of compassion, expression of sympathy,
Khaa! Hiki ni kiinglishi au balaa!!? Sekondari yangu ya kata hapo imedunda ndu! Au ni Kiserbia nasikia nacho kigumu si haba ati.
 
kwa mtazamo wangu, pole ni kama neno la kumliwaza mtu hasa akiwa amechoka, anaumwa, kazi ngumu nk
 
POLE ni neno litumikalo kwa kumfariji mtu wakati akiwa kwenye mashaka / matatizo , mfano kaumia , anaumwa , kapata bahati mbaya ,kachoka nk

PLE pia hutumika kwa kuelezea hali ya mwendo wa kitu ,ingawa hili huwa POLE POLE ....

POLE pia tunaweza kulitumia kwa kumaanisha tabia ya mtu ...MPOLE

wenye ujuzi changieni ............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom