Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

Jk anawaomba watz mazoba fulani. Ameanzisha vipindi tbc eti unatuachaje? Na kingine kumi bora za jk. Namshauri aanzishe kingine cha kumi mbovu za jk
ambazo ni: 1) safari zaidi ya 500 zisizo na tija
2) ufisadi wa richmond, deep green finance, politicization of his family
3) kukifanya msoga kijiji cha utalii
4) kuanisha kilimo cha umwagiliaji kwa kutmia water pumps kwa gharama za serikali badala ya gravity water flow
............................
 
Angekuwa ni raia wa kawaida kasema hivyo polisi wangukuwa washamkamata ili kuisaidia polisi. Chakujiuliza hivi raisi anawezaje kuogopa kumtaja mtu aliyeliingizia taifa hasara,?
 
swagazetu

Mkapa alijua hili ila nyie wananchi mlikua mmeingiwa na mahaba sana na hyu mswahili na genge lake la wahalifu akina rostam na lowassa. Sasa baada ya gentleman agreement Yao kufa, lowassa anajifanya anaipenda sana tz kwa kujiingiza kwenye ngonjera za mabadiliko.
Wakati yeye ni sehemu kubwa ya hizi shida kwa kulazimisha kutuwekea na kutuhadaa tumchague mswahili kwa manufaa na makubaliano Yao binafsi.

Hamna mtu mbinfasi kama huyu lowassa
 
Last edited by a moderator:
Kumbe bado tz kuna vimbola???

Wewe ukiwa m1 wapo

Actually,
Aliyesema Kikwete ni Rais bora wa kupigiwa mfano; "a visionary leader" ni Lowassa wakati akihojiwa na Tido Mhando. Ingia tu youtube utaikuta interview nzima.
Kama huyo bwana ni Kimbola.
Lowassa naye ni Kimbola by association
 
Jk anawaomba watz mazoba fulani. Ameanzisha vipindi tbc eti unatuachaje? Na kingine kumi bora za jk. Namshauri aanzishe kingine cha kumi mbovu za jk
ambazo ni: 1) safari zaidi ya 500 zisizo na tija
2) ufisadi wa richmond, deep green finance, politicization of his family
3) kukifanya msoga kijiji cha utalii
4) kuanisha kilimo cha umwagiliaji kwa kutmia water pumps kwa gharama za serikali badala ya gravity water flow
............................

jamaa anamtesa magufuli.

watu wengi wametekwa na mapungufu ya kikwete. hawajui kuwa magufuli sio kikwete.

mapungufu ya kikwete hayawzi kuwa mapungufu ya magufuli
 
Mkapa alijua hili ila nyie wananchi mlikua mmeingiwa na mahaba sana na hyu mswahili na genge lake la wahalifu akina rostam na lowassa. Sasa baada ya gentleman agreement Yao kufa, lowassa anajifanya anaipenda sana tz kwa kujiingiza kwenye ngonjera za mabadiliko.
Wakati yeye ni sehemu kubwa ya hizi shida kwa kulazimisha kutuwekea na kutuhadaa tumchague mswahili kwa manufaa na makubaliano Yao binafsi.

Hamna mtu mbinfasi kama huyu lowassa

watanzania wenzetu wasahaulifu sana.
washashau mara hii kuwa bila mafisadi kikwete asingetinga ikulu. mkapa ailijua hilo akapinga akashindwa na hapa namshangaa nae mkapa sijui alishindwaje lakini alishindwa.

bila kina lowasa na rostam saa hizi tungekuwa na rais bora zaidi na magufuli na ccm yote wangekuwa wanateleza tu kuelekea kwenye ushindi mkubwa na wa mapema.
 
escrow je nani muhusika
 
Pigeni kelele za mwisho mwisho kama chura maana msimu wenu wa kelele mwisho wake ni tarehe 25 Oktoba mwaka huuu
 
ni kweli chama fisadi kama ccm ni ndoto kurudi ikulu safari hii, kila kona ni EL tuu tena wengi wanasema wazi kabisa kuwa tayari washapiga kura na hawa hitaji kumsikiliza pombe hata sekunde moja maana wasubiri octoba wamurudishe kwao chato akafuge kuku huko
 
Back
Top Bottom