Nini kilikuchochea hadi ukaanza kuchepuka?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,533
12,832
tangu mwanzo wa uchumba hadi ndoa yako, mambo yalikua ya amani na furaha sana baina yenu na mahitaji yote muhimu yalitimizwa.

kwasababu ya upendo wa dhati, itii na uamninifu wa kweli ulokua nao dhidi ya mwenzi wako, hukuwahi kuwaza wala kufikiria kabisa habari ya kuchepuka. mahitaji yote muhimu unapata

uliwashangaa sana na pengine kuwaonea huruma wengine unawafahamu wanachepuka katika uchumba au ndoa zao.

leo hii na kwa jinsi ulivyo mpole hivyo, tena huenda kwa ujasiri mkubwa, bila soni ama hofu, nini kimesababisha na kukuchochea kuchepuka kwenye uchumba au ndoa yako?
 
Mchepukaji haitaji sababu
Zipo.

Kabla ya kumweka ndani anakuwa submissive ila ukishamwoa akajihakikishia ana bima ya cheti cha ndoa mambo kuanza kubadilika mdogomdogo.

1. Kuanza kukupangia siku za kula mbususu.

2. Wengine hubadilika na kuanza kutojijali (hujiweka rafu) wakati kabla hujamwoa alikuwa na pigo za kisistaduu na ndizi ulizomzimikia enzi hizo.

Unakuta Akienda sokoni anajikwatua,akiwa ndani anavaa khanga muda wote,sasa sijui huko sokoni anaenda kumuimpress nani.

3. Mkishazoeana huanza kuonyesha dharau na kelele ndani ya nyumba. Wanaume hautpendi makelele ya Kila saa na yasiyoisha.

4. Ugomvi kidogo humpigia simu mama ake na kuanza vikao. Kuepuka kelele unatafuta pa kupumzikia,ili mbo yasimwe mengi.

5. Wengine kushinda nyumba za ibada kuanzia asubuhi hadi jioni,Kila siku,na mtumishi anasikilizwa kuliko mume.

6 .yapo mengine mengi.
 
Hayo yoteeee ni majaribu na mmembiwa muombe kuyashinda majaribu
 
Upo sahihi sana... Yani shetani ndiyo kaleta hoja hii akijua unaanguka dhambini, unanguka dhambini kwasababu ya kimazingira lakini nyuma yake yupo shetani, na anakuangalia unavyoanguka ili akushtaki kwa Mungu , shetani ni mjinga sana. Ndiyo maana tunambiwa ombeni msiingie majaribuni.
na alivokua wamchongo HQ yake kaweka kwenye ngono na pombe, oovyo kabisa.!!
 
Umekumbuka nini kilichokusukuma kuandika hicho?.
sijakumbuka, nimeshuhudia mwenye ndoa na familia yake, mpole sana usieweza kudhania kuchepuka kabambwa akifanya hiyo tamu ya ndoa nje ya ndoa dah....

kwa namna walivyo pendana kwa nje, waliambatana pamoja karibu kila mahali na saa zingine na watoto wao wazuriiii ....

inashitua ati mchepuko ameingilia kati na kuwasambaratisha 🐒

sasa najiuliza mpaka sasa nini inaweza kuchochea uvukaji bodo kati ya wangwana hawa walopendana vile 🐒
 
Upo sahihi sana... Yani shetani ndiyo kaleta hoja hii akijua unaanguka dhambini, unanguka dhambini kwasababu ya kimazingira lakini nyuma yake yupo shetani, na anakuangalia unavyoanguka ili akushtaki kwa Mungu , shetani ni mjinga sana. Ndiyo maana tunambiwa ombeni msiingie majaribuni.
wanao amini Mungu husingizia shetani....

inawezekana ikawa sawa,

Lakini sasa huyo chetani anachochea nini labda mpaka mtu anavuka boda 🐒
 
tangu mwanzo wa uchumba hadi ndoa yako, mambo yalikua ya amani na furaha sana baina yenu na mahitaji yote muhimu yalitimizwa.

kwasababu ya upendo wa dhati, itii na uamninifu wa kweli ulokua nao dhidi ya mwenzi wako, hukuwahi kuwaza wala kufikiria kabisa habari ya kuchepuka. mahitaji yote muhimu unapata

uliwashangaa sana na pengine kuwaonea huruma wengine unawafahamu wanachepuka katika uchumba au ndoa zao.

leo hii na kwa jinsi ulivyo mpole hivyo, tena huenda kwa ujasiri mkubwa, bila soni ama hofu, nini kimesababisha na kukuchochea kuchepuka kwenye uchumba au ndoa yako?
Mchumba wangu hana kishundu kama kile ilibidi tu.
 
Back
Top Bottom