Nini jukumu la mabenki ktk kuinua maisha ya watz

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Jana jioni nilikuwa nafatilia idhaa ya kiswahili ya bbc wakiongelea mchango wa mabenki katika kuinua maisha ya mtu wa kawaida. Binafsi nilichokipata kwenye majadiliano hayo yaliyohusisha wafanyabiashara na wataalam akiwemo prof.lipumba ni;

1.Mabenki yanatoza RIBA KUBWA SANA kwa mikopo wanayotoa, licha ya kuwa bado watahitaji mkopaji kuwa na DHAMANA kwa huo mkopo anaochukua.
2.Mabenki yanatoa RIBA NDOGO SANA kwa wateja wanaoweka pesa ktk benki.
3.Kama si LAZIMA au una njia mbadala wa kupata pesa ni bora USIKOPE KABISA.

Kama hayo yaliyosemwa hapo juu yana ukweli, nini sasa KAZI YA MABENKI tuliyonayo?
 
Back
Top Bottom