Nini hasa kifanyike kumaliza tatizo la Arusha?

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Kama kuna mwanajamii anaependezwa na yale yanayoendelea Arusha basi atakuwa na tatizo.Mambo si shwari hata kidogo tangu uchaguzi mkuu wa Oct.2010.Kimsingi vuta nikuvute hii haina tija kwa Wananchi wa Arusha na haileti maendeleo.Leo Arusha upo ubabe,umwamba,umimi zaidi kuliko wewe n.k. Sasa,kwa nia njema kabisa,mimi,wewe na yule hebu tujaribu kuwasaidia mawazo kwani najua wanapitapita humu,kwamba MCHOZI na MCHOKOZWA wafanye nini ili amani irejee Arusha.
Nawasoma hapa hapa Jforum
 
Back
Top Bottom