Nini chanzo cha watu kufanya haya? Je unajisikiaje unapoona hii kitu? Ushauri wako je?

chanzo ni kwamba hata wakipelekwa polisi hamna kinachoendelea, ndo maana watu wanachukua hatua....mi najisikia vibaya
 
Hapa kwa kweli hata Yesu alisema siku za mwisho upendo wa wengi utapoa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom