Ninayempenda hanipendi nisiyempenda ananipenda

NDOA tatizo lake ni kwamba inaweza kuwa ya mkato au ya mzuguuko mrefu. lakini yote yana tawaliwa na jambo moja tu; MWANADAMU NI DYNAMIC.UNAWEZA KUMBADILISHA..lakini wengi watakao kuvutia hawatakupenda na inawezekana pia hawakufai. katika ndoa kupendwa ni muimu sana lkn kupenda hakuna maana.ila chagua katika watakao kupenda wale ambao WANAFAA KUWA MWENZI. kisha katika hao chaguwa wanao vutia. halafu katika hao mchaguwe mwenye tabia njema. USIKURUPUKE.
 
Mmh mapenzi kweli hayana fomla kuna babu huku kwetu analia kila cku eti bibi anapenda kwenda kwa bintiye watakuwa na mtu anayemzunguka, xo potezea wote na jaribu kuwa buzy na kazi then utagundua wapi uanzie na nn kifanyike.MIA
 
Kwanza shukuru Mungu kuwa umeshalitambua hilo. Kwa ninavyo wafahamu wenzetu hawa kina dada wengi wapo tofauti sana na sisi kihisia. Mimi naamini huwa msichana akisema mwenyewe kuwa anakupenda na ilhali anakuona upo katika hali yako ya kawaida(Siyo ya kimali au pesa) basi juwa kabisa hiyo sio longolongo hapo anamapenzi ya kweli na wewe.

Mpende akupendae mkuu hapo utaenjoy sana maishani........wa aina hii huwa hawasaliti hawa hata iweje.

Huo ndio ushauri wangu kaka................................mia

Nashukuruui...nataman kama yule kijana angeona ushauri huu na angeufanyia kazi hakika angetulia
 
Kuna tatizo linalonisumbua katika mahusiano, ni kwamba kuna msichana nimetokea kumpenda sana lakini yeye hanipendi na hataki hata kuniona lakini mimi moyo wangu unampenda sana naona hakuna msichana mwingine kama yeye. Wakati huo huo kuna dada mwingine ambaye yeye amenitamkia kuwa ananipenda sana.

Amefika mbali zaidi kwamba anataka tuoane. Kweli ni mzuri na ana mvuto wa kipekee lakini mimi simpendi kwasababu nampenda mtu mwingine anaye nifanya mahaba yanipige shoti ya gridi ya taifa, yaani simpendi hata kidogo ijapokuwa yeye anajitahidi kunionyesha mapenzi ya kila aina na madikodiko ya hapa na pale. Sijampa jibu kama nampenda au la!. Leo naona kampa zawadi mdogo wake wa kike aniletee, Nimeipokea nikamwambia asante.

Sasa nahofu nikiendelea kula vya watu naweza pata matatizo. Ndo maana nikaja hapa kuomba ushauri.

Mimi nia yangu niwe na yule ninayempenda lakini yeye hanitaki sijui nifanyeje naombeni ushauri.

Ushauri wako ulenge kumpata nimpendaye, Huyu anaye nipenda nimfanyeje ili asiendelee kuumia?


Naombeni maushauri kabla sijafanya maamuzi magumu. mia
Subiri ufike miaka 35 au 40 utajijibu mwenyewe kwani utakua ushachuja na utakuja humu kutafta mchumba na utafanya maamzi sahihi kila la kheri.
 
Subiri ufike miaka 35 au 40 utajijibu mwenyewe kwani utakua ushachuja na utakuja humu kutafta mchumba na utafanya maamzi sahihi kila la kheri.
Kumbe na wananume wananchuja wakiwa 35!. Heaven on Earth ananitosha, wengine wa nini? mia
 
Last edited by a moderator:
Nashukuruui...nataman kama yule kijana angeona ushauri huu na angeufanyia kazi hakika angetulia
Tangia nizaliwe sijawahi kukutana na wewe JF. Kumbe hata huku kuna viumbe wazuri. Ngoja nilisake jina ulobadilisha. Tulia hapo hapo nakufuata. mia
 
Tangia nizaliwe sijawahi kukutana na wewe JF. Kumbe hata huku kuna viumbe wazuri. Ngoja nilisake jina ulobadilisha. Tulia hapo hapo nakufuata. mia

Hehehhe mzee wa mia hakika utakesha kutafuta hilo jina maana hata halipo..
Nipogo kila siku sema mvivu kucoment.mia
 
Back
Top Bottom