Ninatafuta mawasiliano ya Mr. Ruge, Mkurugenzi wa Clouds Media

Omarou

Member
Aug 13, 2015
96
101
Hellow JF's members.

Ni matumaini yangu kuwa nyote mu-wazima wa afya, pia nipende kuwatakia HAPPY NEW YEAR 2016.

Dhumuni la kuja kwenu, ni kuomba kwa yule mwenye access ya mawasiliano na Mr Ruge Mutahaba wa Clouds Media anisaidie ili niweze wasiliana nae, nina shida binafsi.

Natanguliza shukrani za dhati.

TANBIH: Itapendeza kama nitapatiwa mawasiliano yake through Private Message(PM)
Thank You and Have a God's Bless.
 
utaikuta pale reception ESCAPE ONE au ukimpata tu Zamaradi Mketema basi utakuwa umeshampata huyo Mtani wangu wa Kihaya. vipi " kakukanyagia " nini mkuu?
 
Kwani We Uko Wapi? Kama Ni Dar Nenda Mikocheni Clouds Fm Utamkuta Kajaa Tele..
 
utaikuta pale reception ESCAPE ONE au ukimpata tu Zamaradi Mketema basi utakuwa umeshampata huyo Mtani wangu wa Kihaya. vipi " kakukanyagia " nini mkuu?

Nashkuru sana Mkuu kwa msaada wako.
Hapana hajanikanyagia, ni issues zingine tu!!
Be blessed crony.
 
Back
Top Bottom