Ninatafuta kazi za afisa mkopo

Hablue

Member
Dec 3, 2012
13
7
Ninaomba kazi ya afisa mkopo, nimemaliza diploma in law na ninauzoefu wa miaka minne katika kazi ya afisa mikopo, nimeomba kazi mara nyingi sijapata. Tafadhali mwenye shida ya afisa mikopo nipo hapa. kwa mawasiliano 0766 969780
 
Diploma in law_unatafuta na una uzoefu wa afisa mikopo,...anyway huo uzoefu umeupata wapi..mmmh?...hebu funguka ili tutoe ushauri nasaha hapa.
 
tuma maombi access bank kwenye hiyo post ya afisa mikopo, weka vyeti ful na ambatanisha na barua, then peleka pale makao makuu kijitonyama access bank floor ya 2 ,then wakiridhika na vyeti na experience yako watakuita for further interview
 
mkuu mimi nina degree na postgraduate diploma za sheria,cjapata kazi! Nipen mchongo jamani,
 
igwe, ni kweli ninauzoefu wa miaka minne NILIOUPATA katika kampuni ya MAHUSIANO MICROFINACE LTD
 
Mkuu komaa na Access Bank,jamaa wameisaidia Jamii kwa Ajira

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu mimi nina degree na postgraduate diploma za sheria,cjapata kazi! Nipen mchongo jamani,

mbona utumishi niliona wamepost nafasi za kazi na sheria zilikuwamo nyingi tu, pitia hiyo web mara nyingi ,me pia am still searching
 
igwe, ni kweli ninauzoefu wa miaka minne NILIOUPATA katika kampuni ya MAHUSIANO MICROFINACE LTD

we tuma tu wakikukubali wanakucheki wenyewe kwenye simu yako kwa ajili ya interview, wana recruit watu mara kwa mara,
 
komaa na benk za kibao usione noma kudrop cv ktk mabenk au microfinance,mi nilipata mchongo ktk style ya ajabu sana,kuliitajika 7 loan officers,jamaa hawakutangaza nafac waliambiana wao kila wenye ndugu mwenye bachelor au diploma of any discipline amlete kwa usaili,kwa bahati nzuri walipatikana sita,HR ktk pitapita zake akaiona cv zangu so wakakubaliana waniite ktk usaili kwa kunicheck km nitafaa au la,bahati nzuri Mungu aliwezesha nikapita.tulipelekwa ktk mafunzo,siku ya mwisho HR akawa anatupa nasaha kwa kueleza kila mtu alivyoingia,kwa hiyo watu wafanye kazi kwa bidii wasiwaanguze ma god father wao,hapo ndo nilipojua kumbe nimeingia kwa rehema za Mungu tu,tena sikuwa na uzoefu hata wa siku moja..usikate tamaa komaa tu..
 
na ero link wametangaza pia kazi za afisa mikopo..ila hiyo kazi nomaa..kama hufafikia target yao..ndani ya miezi sita wanakumwaga
 
Mkuu fanyia kazi maushauri ya wadau, peleka cv ya nguvu na application letter nzuri katika mabenki (azania, exim bank, crdb etc) pamoja na hizo microfinance kama pride,.. Komaaa usione noma mkuu, nakutakia mafanikio.
 
Nenda seda, wapo hapa dsm ni maeneo ya ubungo

Wanajiita VisionFund Tanzania mkuu,..hiyo SEDA wamebadili toka mapema mwaka huu,...ila azingatie huu ushauri wako pengine anaweza pata....nimewahi fanya nao kazi miaka mitatu idara ya finance.
 
Back
Top Bottom