Ninatafuta Kazi ya Kufundisha Morogoro Mjini

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,205
664
Nimemaliza Stashahada ya Ualimu katika chuo cha Ualimu Morogoro (Kigurunyembe),

Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Kiswahili, History, Civics na Geography katika shule yoyote hapa Morogoro.

Anayetambua shida yangu anaweza wasiliana na mimi kupitia simu +255 712 667 669

Asanteni kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki sana
 
Toka na nje bwana Moro utakesha, amimi na sayansi yangu nilipeleka shule zoteee apo mjini lakini hola adi Leo, nikaja mtwara nw nakula bata
 
Toka na nje bwana Moro utakesha, amimi na sayansi yangu nilipeleka shule zoteee apo mjini lakini hola adi Leo, nikaja mtwara nw nakula bata

Ntwara,!??

Duuh,, !! hyo ni sheeda
ngoja nivute subira
vp kule kwa pekupeku kwa mweny taarifa jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom