Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

acha utoto wakaka saba tu hadi unaleta uzi wenzio tunaoa mtu ana watoto au wajukuu tena wengine wanaoa hadi mabarmaid bado una safari ndefu ya ukuaji Shetani ulikuwa unamkemea ilhali hauna Yesu ngoja na yeye akukemee utateswa na mapenzi hadi ujute
Siyo tu hadi ajute ni hadi akufe kabisa... Atakuja hapa kusema haoni sababu za kuishi...
 
🤣imebidi nicheke tu.... wanawake wenzangu tuitafute watu wazima...hawanaga his swalz
Kabisa. Sijui mnajichanganya wapi mna aanza kudate vitoto kama hivi. Sisi watu wazima tunauliza tu unayo papuchi? Ukiwa nayo basi tunasema leta tule... Tunaanzia hapo. Eti nianze kuuliza uli date wangapi. Nataka kuandika takwimu.
 
Haya kapewa takwimu... Anakimbia anakuja kulia lia huku JF. Wakati anaitumia nyapu before hakujua hayo akawa ana enjoy tu. Kaambiwa anakuja juu... Ukienda kula mishkaki kama umeipenda mitamu na ukawa hudhuriki basi endelea kula tu. Ukianza kuuliza uliza ukaambiwa ni ya Mbwa unaanza kulalamika. Wakati ulikula na uka enjoy hukudhurika.... Huyu dogo asipewe tena papuchi. Akaunde yake
 
WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA.......

Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu,

Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya kaskazini........tulifahamiana toka nikiwa advanced level.

yeye alikuwa anasoma shule ya girls halafu mimi nipo boys,alikuwa mwanachama mwenzangu kwenye kikundi cha wanafunzi wakipentecoste mashuleni ndipo kwa mara ya kwanza nikajua huyu binti anafaa kuwa FUTURE WIFE MATERIAL k alikuwa anasali sana na ikibidi anafunga na alienda mbali sana akawa akawa anatembelea mashule na vyuo ili tu kueneza injili, alikuwa ni mtu wa rohoni sana

nilipo maliza kidato cha 6,nilimtongoza ila hakunipa jibu linalo eleweka,sasa wakati nimepata nafasi ya kuja kusoma udaktari jijini na yeye kumbe alipata nafasi kwenye chuo kikubwa ndani ya jiji ambalo mimi nipo......kuanzia siku hiyo tukaingia kwenye penzi zito[IN LOVE WITH CHURCH GIRL], tukawa tunaonana mara kwa mara na wakati mwingine ku-sex ilikuwa ni utamaduni wetu mimi na yeye [nilitegemea kwa jinsi alivyokuwa busy na mambo ya injili advanced basi angekuwa bikra,lakini mambo yalikuwa sivyo kama nilivyo waza kabla]

sasa wakuu,juzi tukawa tunapiga story za hapa na pale akaniambia nimtajie nishawahi sex na wadada wangapi? nikamtajia, ilipofika zam yake alinipa list ya watu wasio zidi saba na akaenda mbali akawa anasema ashawahi meza P2 [dawa ya kuzuia mimba] mara kibao hyo ilikuwa wakati bado hajaamua kuokoka na kumpa YESU maisha yake na kwa sasa hahitaji tena kuingia kwenye mahusiano hatarishi kama hapo awali

kiukweli wakuu, kijana wenu nilichoka sana baada ya kusikia maneno yale kutoka kwa binti yule,japokuwa ninampenda sana na nilitaka nimuoe huko baadae ila nikiangalia background yake inanitisha sana na sijajua nifanyejemaana nipo njia panda na sijajua nichukue njia gani ili niende kule ninapotaka kufika

NB;Ushauri wenu unahitajika sana
Bora huyo kafunguka. Wengi hufanya siri lakini ni wabovu zaidi.
Labda kama hupendi ukweli lkn oa huyo, ni kama ametubu ila aanze upya
 
Ivi mnatoaga wapi mda wa kumuuliza mwanamke hayo maswali yote me nikishaingiza bolo tu nikagundua hakuna bikra basi apo alarm inaniambia kuwa alikuwa na mwanaume kabla yako so me ni mwendo wa kuisasambua tu mbususu yake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mm hata watano hawajafika , nadhani ni watatu ,bht yangu nilikutana na kijana mwema sana ,akaniweka ndani tangu hapo mwaka wa 7 huuu sijui mwanaume mwingine zaidi yake Kuna wkt ananiudhi natamani kumchet ila nashindwa nahisi cwez kukutana na mwanaume mwingine aiseeeee naogopa mno.
😍😍😍
 
Utachagua mpaka basi kwa hawa waliopo..
Swala ni moja tu ukubali matokeoo...
 
WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA.......

Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu,

Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya kaskazini........tulifahamiana toka nikiwa advanced level.

yeye alikuwa anasoma shule ya girls halafu mimi nipo boys,alikuwa mwanachama mwenzangu kwenye kikundi cha wanafunzi wakipentecoste mashuleni ndipo kwa mara ya kwanza nikajua huyu binti anafaa kuwa FUTURE WIFE MATERIAL k alikuwa anasali sana na ikibidi anafunga na alienda mbali sana akawa akawa anatembelea mashule na vyuo ili tu kueneza injili, alikuwa ni mtu wa rohoni sana

nilipo maliza kidato cha 6,nilimtongoza ila hakunipa jibu linalo eleweka,sasa wakati nimepata nafasi ya kuja kusoma udaktari jijini na yeye kumbe alipata nafasi kwenye chuo kikubwa ndani ya jiji ambalo mimi nipo......kuanzia siku hiyo tukaingia kwenye penzi zito[IN LOVE WITH CHURCH GIRL], tukawa tunaonana mara kwa mara na wakati mwingine ku-sex ilikuwa ni utamaduni wetu mimi na yeye [nilitegemea kwa jinsi alivyokuwa busy na mambo ya injili advanced basi angekuwa bikra,lakini mambo yalikuwa sivyo kama nilivyo waza kabla]

sasa wakuu,juzi tukawa tunapiga story za hapa na pale akaniambia nimtajie nishawahi sex na wadada wangapi? nikamtajia, ilipofika zam yake alinipa list ya watu wasio zidi saba na akaenda mbali akawa anasema ashawahi meza P2 [dawa ya kuzuia mimba] mara kibao hyo ilikuwa wakati bado hajaamua kuokoka na kumpa YESU maisha yake na kwa sasa hahitaji tena kuingia kwenye mahusiano hatarishi kama hapo awali

kiukweli wakuu, kijana wenu nilichoka sana baada ya kusikia maneno yale kutoka kwa binti yule,japokuwa ninampenda sana na nilitaka nimuoe huko baadae ila nikiangalia background yake inanitisha sana na sijajua nifanyejemaana nipo njia panda na sijajua nichukue njia gani ili niende kule ninapotaka kufika

NB;Ushauri wenu unahitajika sana
Kwa huu upumbavu hata ukiwa daktari unataka ukawatibu akina nani? Kwa huo ujinga huyo dada atawahubiri akina nani? Yaani mpo kwenye mahusiano halafu mnaanza kufukua makaburi mwisho wa siku unakuja kulialia hapa ushauriwe. Ulichokuwa unakitafuta umeshakipata. Sisi hatuna msaada wowote kiukweli. Utatusamehe tu. Barieda
 
sawa kaka nashukuru sana........inaonekana wewe ni mtu perfect sana kwenye hiki kizazi cha leo
 
yani kumuacha nataka na kumpenda bado nampenda sana
Jiondoe hapo, ila nategemea pia nawewe umejihold kwenye same standard kama uliyomuwekea. Hilo swali usiache kuuliza, miimi sijachezea mabinti wa watu yanini mimi nichukue binti aliyejichezea. Pia lengo kuu liwe moja tu, mahusiano kwaajili ya ndoa na sio kwaajili ya fun, hivyo hata ngono iweke pembeni kabisa.
 
Sijui kama mtaniamini ila nawaambia HIVYO VIBINTI VILOKOLE KAENI NAVYO MBALI NI VINAFIKI SANA,VIMALAYA SANA.
 
Wote nyie wapuuzi. Maswali hayo ya kipuuzi ulikula au kuliwa na wangapi ya nini? Halafu mkiambiwa ukweli tena sukari inapanda. Wakati ulitaka mwenyewe kujua...

Sasa ulitaka aseme mmoja au wawili. Hapo ungefurahi. Kakwambia ukweli una mind tena. Ulitaka nini tena? Ishi na ukweli ni mzuri ingawa unachoma kuliko uongo ambao unakuwa umepakwa rangi ilhali ndani kuna uchafu.
Kuna wengine wala huhitaji kuuliza unasoma km za mbususu tu,unapata jibu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom