Ninamashaka nae.....

<br / lakn nikifaa.nakipenda.but hapo penye ndom pananitisha

mbona haujasema kwanini anakataa? may be anasababu...vijana bwana hata kumuuliza why unamuonea aibu....ondoa aibu mkuu. acha mbwembwe

Usimtafune kabla ya kupima wewe, mwambie mkapime kwanza akikataa achana nae.

Ahirisha mwambie wewe uko nyotani! LOL

Mwambie unatumia dawa hivyo unamjali ndio maana hutaki kumuambukiza! Bora akukimbie kuliko kukuweka katika risk!

Hii ndio njia nzuri ya kujua ukweli.

mbona haujasema kwanini anakataa? may be anasababu...vijana bwana hata kumuuliza why unamuonea aibu....ondoa aibu mkuu. acha mbwembwe

<br / nimemuuliza eti ananiambia ananiamin na ananipenda.kwa kuwa ananipenda sana bas hatak kula pip na maganda.lakn bado hajanikuna naogopa sana wakuu lakn nampenda sana

huyo ananifaa maana mwenyewe sipendi condom

<br / ngoja nifanye uchunguzi nikikuta ana ngoma nitakuachia umuchukue lakn kama yupo pouwa humpata hata chembe maana nikifaa ile mbaya nanimesumbuka sana kumpata

nimekumbuka story moja wakat tupo Udsm,kuna mshkaj alimpata demu,sasa wakat washaingia faragha jamaa akachukua jezi zake,dem alimind kichz,akagoma,jamaa akavaa akarud hm!huo ndio ushujaa!na sasa yule demu alishavutaga!kaz kwako mukubwa

<br / duu hiyo kali.ngoja na mim hiyo kesho kutwa nikafanye hivyo.inawezekana mungu ananilinda anataka nisiangamie mapema.asante

Napita tuu hapa. Kwa hali ya sasa mapenzi bila condom na bado unajipendekeza wala kupima hamjapima
Kajilipue kwa mabom ya kabul yakilipuka ukipona poa

<br / sio najipendekeza kaka siunajua mapenz unaweza ukwa crazy ndo maana nimekuja kuomba ushaur

....sasa najiuliza mpk anakutana na wewe ameishafanya na wangapi bila cdm?aisee huyo binti ni jasiri sana,kama hawezi tumia cdm na wewe bila cdm haiwezekani basi dawa ni kuachana tu!

Du, hii ndo dunia ndani ya jf. Wewe unaonaje? Si kifaa? Do naye hivohivo halafu ukiukwaa unawaambia watu 'acheni tu, aliyenipa huu ni kifaa kweli'.

Si ulisikia yule alengongwa na vogue akakatwam mguu akimcheka yule aliyesukmwa na gari ya taka eti kisa ka gongwa na gari ambayo haina hadhi?

hahahahaha...hii imekaa vizuri...kesho kutwa ikifika mwambie na mim nahisi nitakuwa nyotani hivi karibuni hivyo zoezi lisitishwe mpaka utakatoka nyotani na yeye atakuwa ametoka mwezini..LOL
Ahirisha mwambie wewe uko nyotani! LOL

Mwambie unatumia dawa hivyo unamjali ndio maana hutaki kumuambukiza! Bora akukimbie kuliko kukuweka katika risk!

Back
Top Bottom