Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,303
Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi wengine kutapeliwa na watanzania wenzao wanaowaagizia.

Wanaohitaji wanicheki PM. Nina contacts za machimbo yafuatayo;
1. Chimbo la aina zote za viatu vya kiume, vya kike na watoto.
2. Handbags, saa na mabegi ya shule
3. Chimbo la mashine za printing, na accessories zake.
4. Lab equipments
5. Original Electronics devices kama TV, Fridge nk.
6. Simu

Mimi ninatoa hizi connections bure. Siko hapa kufanya biashara ya kuwaagizia watu au kuhitaji malipo yoyote. Kama hizi connections zitakusaidia basi utatoa hata sadaka kwa watoto yatima. Kimsingi mimi ni kada wa CCM ambaye sina njaa.

UPDATES: Zoezi linaenda vizuri. Vijana wamejitokeza na ninawatakia kila la heri. Nitafunga PM siku ya ijumaa tarehe 15/09/2023, saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

LEO 15/09/2023 ZOEZI LIMEFUNGWA RASMI. NAWAPONGEZA WOTE MLIOKUJA PM NA NINAWATAKIA MAFANIKIO KWENYE KAZI ZENU.

IMG-20220307-WA0006.jpg
20230107_161253.jpg
IMG-20220311-WA0080.jpg
mmexport1668161112144.jpg
 
Hapa hakuna chimbo wala chimbuo ungekuwa una nia ya dhati ungeweka hapa hapa jukwaani
Wenye nia wote nimewatumia PM. Kwa hiari yao wanaweza kuscreenshot nilivyowatumia. Acheni fikra potofu. Sio kila mtu ana roho ya kishetani kuwaza utapeli. Natambua wengi wanaotaka contacts bado wadogo kiuchumi na hizi connections zinaweza wasaidia. Na namba ninazowapa ni za huko ninakoagizia. Washindwe tu wenyewe. Sio lazima uwe bilionea ndo usaidie mtu. Anza na ulicho nacho.
 
Mimi nataka chimbo la Plastic explosive,RPG,C4,Hand grenades na grenade launchers kama naweza kupata.
 
Kuna watu walikuja na maneno matamu zaidi ya hayo..watu wakaishia maumivu..huko PM ni hatari zaidi ya hatari msiseme hatukuwaambia..msije kulia Lia hapa Tena ..Dunia ya Leo kijana unamiliki smartphone unashindwa agiza china huu ni uzembe mkubwa au kutwa kushinda kufuatilia umbea wa mitandaoni. Nenda Alibaba au express etc nunua au pata sample etc leta mzigo Kwa meli au ndege ni wewe tu.uzuri humu Kuna nyuzi kibao za kusaidia namna gani unaweza nunua china na ukasafirisha .Achana na makanjanja wa PM au Whatsapp huko utapigwa ulie kilio Cha mbwa Koko..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom